Kocha Juma Mgunda ukiona 'anayetroti' ni Kipa jua atakayetoka siyo Mchezaji wa ndani

Kocha Juma Mgunda ukiona 'anayetroti' ni Kipa jua atakayetoka siyo Mchezaji wa ndani

Kweli wana Simba hatuna Shukrani
Shukran kwa Ushindi wa Kuhonga Timu Pinzani Simba SC iishinde na Kocha Mgunda aonekane mzuri na anafaa kisha Wajanja wapige Pesa kwa Boss na wamgawie Yeye kidogo?

Huna unachokijua katika Soka hili la Tanzania ( Bongo ) ambalo GENTAMYCINE nina PhD nalo sawa?
 
Back
Top Bottom