Kocha Juma Mwambusi umeonyesha 'Upuuzi' Usiovumilika na uliovuka Kiwango kumbe ndiyo maana Yanga SC wanakudharau mno

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kaimu Kocha wa Yanga Juma Mwambusi amesema kitendo alichofanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwa sababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita.

“Ntibazonkiza alikuwa anafurahia kupata goli kwa sababu mechi mbili zimepita alitoka bila kufunga goli”-Juma Mwambusi.

Chanzo: ShaffihDauda

Kocha Mwambusi hivi Mchezaji anayefunga Goli huwa ananuna kama ilivyokuwa leo ( jana) kwa Saido Ntibanzonkiza?

Kocha Mwambusi hivi Mchezaji anayefunga Goli (Saido Ntibanzonkiza) huwa anamfuata Kocha wake ( Wewe ) na Kukufokea, Kukubishia na kuelekea Vyumbani kwa Hasira?

Kocha Mwambusi hivi Mchezaji anayefunga Goli (Saido Ntibanzonkiza) kwa Furaha huwa anaanza Kujibizana hovyo na Wachezaji wenzake akina Kaseke, Nondo na Mukoko mpaka Kuwadharau?

Sikutaka Kusema kilichotokea na kama kawaida yangu Generalist huwa sipitwi na Jambo gumu pale nikitaka Ukweli wake na nashukuru mno kuwa nina Vyanzo vyangu vya uhakika huko Jangwani na Msimbazi (tena kwa wale walioko Jikoni kabisa) na nikija na Jambo hapa JamiiForums huwa silibahatishi.

UKWELI KAMILI NDANI YA YANGA

1. GSM imewagawa Wachezaji
2. Wachezaji wazawa Wanapuuzwa
3. Saido Ntibanzonkiza ana Dharau
4. Mwambusi unabagua Wachezaji
5. Wachezaji Wanarogana sana tu
6. Wachezaji wa Yanga hawapendani
7. Mishahara na Posho ni tatizo

Kesho nikiamka nitakuja na Exclusive ya kwanini Juzi Mchezaji na Kiungo mahiri wa Kinyarwanda Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima Yanga SC ilipocheza na Biashara United FC alipomaliza Kufuturu Tende Uwanjani akiwa amekaa pembeni ya Uwanja na Beki Bakari Nondo Mwamnyeto alipoamka alijibizana hovyo na Kit Manager wa Yanga SC huku akitukanana nae na akinyoosha kidole kwa Kocha Mwambusi.

Na nikimaliza nitakuja tena na Exclusive nyingine inayomhusu Kipa Metacha Boniface Mnata na kwanini hapangwi tena Yanga SC na Feisal Salum Fei Toto kutokupangwa kwa Maagizo kutoka Juu Uongozini na kwa GSM na Kocha Mwambusi kulazimishwa ampange Muangola Carlinho (Kalinyo) tu kwa sasa.

Tunajua kwanini leo (jana) ilikuwa iwe isiwe ni lazima mshinde kwani...

1. Mlitaka Kumuonyesha Kocha wenu mpya (asiyejua Kiingereza wala Kiswahili) Nasreddine Nabi kuwa mna Kikosi kizuri na asiogope kisha ajue kuwa ametua katika Timu bora wakati kumbe ametua katika MATATIZO MAJUNGU LAWAMA SHIDA YANGA SPORTS CLUB ambayo kwa Historia ya huyu Kocha akidumu Yanga SC miezi Kenda (Tisa) tu ijayo Generalist nitaogelea Kifua Wazi (Kidali Poo) kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar.

2. Ilikuwa ni lazima leo Mshinde kwa namna yoyote ile (tena kwa idadi kubwa tu ya Magoli) ili Kuwafurahisha Mashabiki wenu na Kuwatamanisha wajitokeze kwa wingi (Nyomi Kubwa) Siku ya Jumamosi ijayo pale mtakapocheza na Azam FC (Simba SC B) ambayo mtafungwa na Kuvurugana zaidi.

Soka la nchini lipo 'Kiganjani' mwangu.
 
Wewe mtu Wa mkia tu yani nimesoma pote ulipo Kuja kuaribu ni apo kwa calinho inamana kichwa chako kimekosa hata akil ya kutambua kua calinho ni nzur kuliko fey au simba wamekutuma mmeanza kwa Dula makabila na docter kumbuka mmegeukia yanga polen Sana kila mtu ashinde mech zake kagera suger oyee
 
Unachekesha wewe!!! Kwahiyo kila mtu akishinda mechi zake nani bingwa!??
 
Umeanza vizuri sana huku mwishoni nimeona ni pumba tupu zimeongelewa.
Nlichogundua Simba wanamuogopa sana GSM, posts nyingi humu za mikia ni za kuiponda GSM na kuchochea kuni mfarakano [emoji706]
 
Kaimu Kocha wa Yanga Juma Mwambusi amesema kitendo alichofanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwa sababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita.

“Ntibazonkiza alikuwa anafurahia kupata goli kwa sababu mechi mbili zimepita alitoka bila kufunga goli”-Juma Mwambusi.

Chanzo: ShaffihDauda

Kocha Mwambusi hivi Mchezaji anayefunga Goli huwa ananuna kama ilivyokuwa leo ( jana ) kwa Saido Ntibanzonkiza?

Kocha Mwambusi hivi Mchezaji anayefunga Goli ( Saido Ntibanzonkiza ) huwa anamfuata Kocha wake ( Wewe ) na Kukufokea, Kukubishia na kuelekea Vyumbani kwa Hasira?

Kocha Mwambusi hivi Mchezaji anayefunga Goli ( Saido Ntibanzonkiza ) kwa Furaha huwa anaanza Kujibizana hovyo na Wachezaji wenzake akina Kaseke, Nondo na Mukoko mpaka Kuwadharau?

Sikutaka Kusema kilichotokea na kama kawaida yangu Generalist huwa sipitwi na Jambo gumu pale nikitaka Ukweli wake na nashukuru mno kuwa nina Vyanzo vyangu vya uhakika huko Jangwani na Msimbazi ( tena kwa wale walioko Jikoni kabisa ) na nikija na Jambo hapa JamiiForums huwa silibahatishi.

UKWELI KAMILI NDANI YA YANGA

1. GSM imewagawa Wachezaji
2. Wachezaji wazawa Wanapuuzwa
3. Saido Ntibanzonkiza ana Dharau
4. Mwambusi unabagua Wachezaji
5. Wachezaji Wanarogana sana tu
6. Wachezaji wa Yanga hawapendani
7. Mishahara na Posho ni tatizo

Kesho nikiamka nitakuja na Exclusive ya kwanini Juzi Mchezaji na Kiungo mahiri wa Kinyarwanda Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima Yanga SC ilipocheza na Biashara United FC alipomaliza Kufuturu Tende Uwanjani akiwa amekaa pembeni ya Uwanja na Beki Bakari Nondo Mwamnyeto alipoamka alijibizana hovyo na Kit Manager wa Yanga SC huku akitukanana nae na akinyoosha kidole kwa Kocha Mwambusi.

Na nikimaliza nitakuja tena na Exclusive nyingine inayomhusu Kipa Metacha Boniface Mnata na kwanini hapangwi tena Yanga SC na Feisal Salum Fei Toto kutokupangwa kwa Maagizo kutoka Juu Uongozini na kwa GSM na Kocha Mwambusi kulazimishwa ampange Muangola Carlinho ( Kalinyo ) tu kwa sasa.

Tunajua kwanini leo ( jana ) ilikuwa iwe isiwe ni lazima mshinde kwani....

1. Mlitaka Kumuonyesha Kocha wenu mpya ( asiyejua Kiingereza wala Kiswahili ) Nasreddine Nabi kuwa mna Kikosi kizuri na asiogope kisha ajue kuwa ametua katika Timu bora wakati kumbe ametua katika MATATIZO MAJUNGU LAWAMA SHIDA YANGA SPORTS CLUB ambayo kwa Historia ya huyu Kocha akidumu Yanga SC miezi Kenda ( Tisa ) tu ijayo Generalist nitaogelea Kifua Wazi ( Kidali Poo ) kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar.

2. Ilikuwa ni lazima leo Mshinde kwa namna yoyote ile ( tena kwa idadi kubwa tu ya Magoli ) ili Kuwafurahisha Mashabiki wenu na Kuwatamanisha wajitokeze kwa wingi ( Nyomi Kubwa ) Siku ya Jumamosi ijayo pale mtakapocheza na Azam FC ( Simba SC B ) ambayo mtafungwa na Kuvurugana zaidi.

Soka la nchini lipo 'Kiganjani' mwangu.
Metacha kafiwa na mwanae wiki iliyopita,feisal ana malaria,mkuu kwanini usijikite zaidi kwenye timu yako ya mikia?Yanga ikishinda uwa roho zinawauma pa1 na mafanikio yote mnayopata kimataifa bado mnaona wivu Yanga kuifunga gwambina!
 
Jana ndio nimesikia kwa mara ya kwanza kua kumbe mtu anaweza kununa au kukasirika ikiwa ni ishara ya kuonyesha amefurahi.
 
Halafu huyu Daudi Mchambuzi anaona ni sawa tu. Wana Yanga SC wengi IQ zao ni Ndogo mno na ndiyo maana hata Mshabiki wao Wenyewe aliwaita Utopolo ( ambayo kwa lugha ya Kihehe kwa mujibu wake ) unamaanisha Udhaifu / Dhaifu.
 
Back
Top Bottom