Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Ntibanzokiza hakutaka kuingia Sub, alitaka aanze mwanzo.Halafu huyu Daudi Mchambuzi anaona ni sawa tu. Wana Yanga SC wengi IQ zao ni Ndogo mno na ndiyo maana hata Mshabiki wao Wenyewe aliwaita Utopolo ( ambayo kwa lugha ya Kihehe kwa mujibu wake ) unamaanisha Udhaifu / Dhaifu.
Ila angefunga goli pekee na la ushindi labda nyodo zake zingekua na maana, lakin unafunga goli moja kati ya matatu nyodo za nini Sasa?
Au kwa Yanga magoli ni adimu sana kias Cha kwamba ukifunga lazima ujione bonge la shujaa