Ntibanzokiza hakutaka kuingia Sub, alitaka aanze mwanzo.Halafu huyu Daudi Mchambuzi anaona ni sawa tu. Wana Yanga SC wengi IQ zao ni Ndogo mno na ndiyo maana hata Mshabiki wao Wenyewe aliwaita Utopolo ( ambayo kwa lugha ya Kihehe kwa mujibu wake ) unamaanisha Udhaifu / Dhaifu.
Subiria Jumamosi wanavyoenda 'Kupasuliwa' na Azam FC Kwa Mkapa na hapo ndiyo wanaenda 'Kuvurugana' kabisa Ndugu. Amini haya maneno yangu tafadhali.Ntibanzokiza hakutaka kuingia Sub, alitaka aanze mwanzo.
Ila angefunga goli pekee na la ushindi labda nyodo zake zingekua na maana, lakin unafunga goli moja kati ya matatu nyodo za nini Sasa?
Au kwa Yanga magoli ni adimu sana kias Cha kwamba ukifunga lazima ujione bonge la shujaa
Af Sio Jumamosi Ni Jumapili Af Na Km Yanga Isipofungwa Tukufanyaje?Subiria Jumamosi wanavyoenda 'Kupasuliwa' na Azam FC Kwa Mkapa na hapo ndiyo wanaenda 'Kuvurugana' kabisa Ndugu. Amini haya maneno yangu tafadhali.
Hana lolote huyoHuyo ndio Genta mwenyewe
Ninaungana nawe 100% hana lolote JF.Hana lolote huyo
Nitakuomba uniruhusu 'Nikukaze' rasmi.Af Sio Jumamosi Ni Jumapili Af Na Km Yanga Isipofungwa Tukufanyaje?
Kumbe ni Genta mbona anabadili Id sana siku hzi?Huyo ndio Genta mwenyewe
Ana pigwa ban kila uchaoKumbe ni Genta mbona anabadili Id sana siku hzi?
Mdomo wake hauna breakAna pigwa ban kila uchao
Hatutaridhika, hata mkishuka daraja bado tutaendelea kuwaombea mabaya. Sasa hivi mnataka kuonewa huruma, ila tukiamua kufukua makaburi ya comments zenu juu ya Simba Sc ya miaka ile,mlikuwa wapiga domo sana[emoji23][emoji23]Metacha kafiwa na mwanae wiki iliyopita,feisal ana malaria,mkuu kwanini usijikite zaidi kwenye timu yako ya mikia?Yanga ikishinda uwa roho zinawauma pa1 na mafanikio yote mnayopata kimataifa bado mnaona wivu Yanga kuifunga gwambina!
Na Yanga kamwe aishuki daraja,zama zenu zinakaribia kuisha,nyie endeleeni na roho mbaya yenu siku mo akisepa ndio mtajua hamjui wakati huo sie tayari tushaingia kwenye mabadlikoHatutaridhika, hata mkishuka daraja bado tutaendelea kuwaombea mabaya. Sasa hivi mnataka kuonewa huruma, ila tukiamua kufukua makaburi ya comments zenu juu ya Simba Sc ya miaka ile,mlikuwa wapiga domo sana[emoji23][emoji23]
GSM hii inayosajili wachezaji wa kuokota!?? Kila mwana simba anaomba GSM aendelee kuwepo ili azma yetu ya kuchukua makombe miaka 10 mfululizo ifanikiweNlichogundua Simba wanamuogopa sana GSM, posts nyingi humu za mikia ni za kuiponda GSM na kuchochea kuni mfarakano
nimeuliza swali jepesi tu, kwanini mashabiki wa simba mnamashambulia kocha msaidizi wa yanga kwa kitendo hicho cha mchezaji kuomba sub baada ya kufunga???Halafu huyu Daudi Mchambuzi anaona ni sawa tu. Wana Yanga SC wengi IQ zao ni Ndogo mno na ndiyo maana hata Mshabiki wao Wenyewe aliwaita Utopolo ( ambayo kwa lugha ya Kihehe kwa mujibu wake ) unamaanisha Udhaifu / Dhaifu.
Ulitaka niandike 'Kijuha' tu kama Wewe?
UNAOMBEA KILA MTU ASHINDE MATCHES ZAKE? WEWE NI YANGA KWELI?π³π³π³π³ππππWewe mtu Wa mkia tu yani nimesoma pote ulipo Kuja kuaribu ni apo kwa calinho inamana kichwa chako kimekosa hata akil ya kutambua kua calinho ni nzur kuliko fey au simba wamekutuma mmeanza kwa Dula makabila na docter kumbuka mmegeukia yanga polen Sana kila mtu ashinde mech zake kagera suger oyee
Genta katika ubora wakeHuyo ndio Genta mwenyewe
Duh,Subiria Jumamosi wanavyoenda 'Kupasuliwa' na Azam FC Kwa Mkapa na hapo ndiyo wanaenda 'Kuvurugana' kabisa Ndugu. Amini haya maneno yangu tafadhali.