Kocha kimwonekano kabisa anaonekana hamna kitu halafu mnategemea mumfunge Mwarabu kwa Mkapa?

Always makolo ni wajinga wanashangaa yanga kupata point moja mechi mbili na wanasahau wao msimu uliopita mechi mbili hawakua na point hata moja, mechi ya kwanza walichapwa moja mtungi na Horoya then wakaja wakabakwa mara tatu na mwarabu Raja Casablanca ya Morocco na leo wamesau au ndio kuijizima data
Ila wakafanya comeback wakaingia robo, kama mna ubavu nye vukeni hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.

Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Wkt mwingine unasema ukweli
 
Domokaya tuchambulie hapa
1701899681322.jpg
 
Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.

Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Mkuu upo, nilimisi nyuzi zako humu
 
Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.

Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Nyie mliojaa vichwani mmeanzaje kumpa timu kocha wa fainali ya kombe la loser kwenye mashindano ya wakubwa, msimu huu hata robo hamuingii nyambafu nyie, bora sisi tulikuwa tunatest makundi mwakani tutarudi tumejiandaa hadi fainali.
 
Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.

Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako hako Kaalama tumoja twako.
Huyu mbilikimo yupo wapi siku hizi
 
Back
Top Bottom