Kocha Mecky Mexime Watanzania wengi wana Roho mbaya

Kocha Mecky Mexime Watanzania wengi wana Roho mbaya

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇

Jibu la kocha Mecky Mexime
luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza mechi nyingi kubwa kwa kiwango kizuri na timu ya taifa ashaitumikia Sana sio mchezaji muoga na wote tuliangalia Ile mechi hakuna clip inayoonesha luhende akitetemeka.

watanzania wengi washazoea kuwasema wachezaji wao,wanamsema samata kila siku kwani samata ana kosa gani sisi watu wa mpira tushawazoea afu akamaliza na👇👇

akachekaaaa kwanza unajua Mambo ya kuingia kuangalia mpira bure haya ndo matatizo yake.

Kila mtu anaingia na dua yake watanzania wengi wao Wana Roho mbaya.

Source EFM Sport HQ
 
Ni kweli tuna roho mbaya sana.Kiongozi anayeongoza kwa roho mbaya ni jitu moja hapa maarufu kama popoma.
 
Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇

Jibu la kocha Mecky Mexime
luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza mechi nyingi kubwa kwa kiwango kizuri na timu ya taifa ashaitumikia Sana sio mchezaji muoga na wote tuliangalia Ile mechi hakuna clip inayoonesha luhende akitetemeka.

watanzania wengi washazoea kuwasema wachezaji wao,wanamsema samata kila siku kwani samata ana kosa gani sisi watu wa mpira tushawazoea afu akamaliza na👇👇

akachekaaaa kwanza unajua Mambo ya kuingia kuangalia mpira bure haya ndo matatizo yake.

Kila mtu anaingia na dua yake watanzania wengi wao Wana Roho mbaya.

Source EFM Sport HQ
Alikiwa hajui
 
Kwani uongo????

Ni kweli watanzania wengi wana roho mbaya ila pia ni kweli Luhende alikiwa anatetemeka......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sidhani kama Kuna nchi inaizidi Tanzania kwa wananchi wake kuwa na roho ya korosho
 
Ila yupo muamuzi wa mwisho. Hilo tunakutama nalo sana. Jirani wanakununia bila kosa kisa tu umenunua gari. Eti sasa unaringa mara unajitenga.
Ukikaa uswailini huko mbagara😂😂😂😂

Alisikika mchangiaji mmoja...
 
Mexime anapenda kukosoa watu wa michezo nataman nijue mafanikio yake
Ni kocha mzuri ana mafanikio Sana nahis alikuwa mchezaji zamani mexime ni mtu ambaye mswahili anafanya kwenye mpira kila kitu anakijua tambo zake Kama Mourinho hv au j kiwelu
 
Back
Top Bottom