Kupambana waende Palestina. Tanzania wajitahidi.Hata mashabiki wengi pia hatufurahishwi. Wapambane wajenge uwanja wao tu hakuna namna.
Mkong'oto wa Mazayuni unawapitisha kwenye kipindi cha kuweweseka bila kupenda.Kupambana waende Palestina. Tanzania wajitahidi.
Yanga ata wakicheza bunju akuna timu yenye ubavu wa kumfunga kama unabisha leta hoja za kubisha!Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea".
Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba kucheza mechi yao Benjamin Mkapa,lakini walijibiwa kwamba uwanja wa Benjamin upo kwenye matengenezo.
Em rudia kauli yako mkuuYanga ata wakicheza bunju akuna timu yenye ubavu wa kumfunga kama unabisha leta hoja za kubisha!
Kwanini wasihamie KMC Complex? au taratibu haziruhusu?Wangeomba kucheza Isamwihihyo ingekuwa poa ila kwa Sasa ni hakuna namna