Kocha Miguel Gamond hafurahishwi Azam Complex kuwa uwanja wa nyumbani

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea".

Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba kucheza mechi yao Benjamin Mkapa,lakini walijibiwa kwamba uwanja wa Benjamin upo kwenye matengenezo.
 
Tapeli na muhuni tu huyo mvuta bangi na mkorofi
Anacheza mind games huyo muhuni..
 
Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea".

Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba kucheza mechi yao Benjamin Mkapa,lakini walijibiwa kwamba uwanja wa Benjamin upo kwenye matengenezo.
Yanga ata wakicheza bunju akuna timu yenye ubavu wa kumfunga kama unabisha leta hoja za kubisha!
 
Back
Top Bottom