Hii itakua sio poa
Kabla ya kukimbilia swali na jibu lake, acha kwanza upatikane uthibitisho wa kujiuzuluJe ikiwa ni kweli Sven kaachana na Simba SC hii haiwezi kua hatari kwa Simba?
Uthibitisho upi unataka? Matola alikuwa national team,kaenda kuchukuliwa faster kavuka maji,Kocha ameshaondoka kurudi kwaoKabla ya kukimbilia swali na jibu lake, acha kwanza upatikane uthibitisho wa kujiuzulu
Kocha ameshapanda ndege kurudi kwao,siyo TetesiTetesi za bongo 70% huwa Ni uongo mtupu!!
Kwa hiyo kumbe kurudi kwao ndio uthibitisho wa kubwaga manyanga?Uthibitisho upi unataka? Matola alikuwa national team,kaenda kuchukuliwa faster kavuka maji,Kocha ameshaondoka kurudi kwao