liwaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 2,384
- 1,648
Ha ha ha ha nimeiona hiyoNi world cup mkuu,labda kama kuna mashindano mapya mi sijayajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha nimeiona hiyoNi world cup mkuu,labda kama kuna mashindano mapya mi sijayajua
😂😂😂😂😂😂Ameona hana msaada maana Simba wamemleta kocha mpya 'PAKA'
PAKA FC wako vizuri sanaWe unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.
Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.
Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
naunga mkono hoja ....japo wamesema anashika Kwa muda then watamleta kocha mkuu soon ......Matola atatufikisha wapi, siafiki bado
Sasa swali kwako braza mbona tukienda weldi kapu hizi mdumba hazitusaidii...tupe ufafanuzi hapo maana ilitakkwa africa ndio tuwe na makombe ya dunia kama yoteWe unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.
Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.
Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
Kishingo hataki uchawi , viongozi wanautakaWabongo bhana!
Kimberly, duh[emoji1787]Kwa habari zilizotufikia iv punde za ndani kabsa sven amepata dili nono sana kutoka raja Casablanca
Unawaza upumbavu tu ndo,ujinga mtupu ,TP Mazembe walishuka Kongwe kutokana na kukosa kibali cha kushukia JKNIAKwahiyo we unafikiri hao Wakongo hawafanyi hayo mambo? Mazembe walijiandaa kwa figisu zote;zinazoonekana na zisizoonekana. Ulijiuliza ni kwanini TP Mazembe waliamua kushukia uwanja wa ndege wa Songwe badala ya JKNIA, KIA au Mwanza Airport? Au unafikiri waliamua tu?
Baada ya Simba kumfanyia mbaya AS Vita hapa DSM,Mazembe walijulishwa kilichokuwa kinafanyika ndani ya Simba hivyo wakajipanga,la sivyo walikuwa wanaliwa kichwa pia.
AS Vita, Al Ahly, na hata JS Sourra walilalamikia kupuliziwa 'kemikali' vyumbani. Issue haikuwa kemikali bali kulikuwa kuna mengi zaidi.Na ingekuwa ni kemikali kiuhalisia CAF wangebaini na wangeipiga adhabu Simba.Ile ilikuwa kemikali ya kijadi ambayo wala huwezi kuithibitisha kwa vipimo vyenu vya kisayansi.
Sasa huko Israel na Saudi Arabia kulikotokea Quran na biblia hawana lolote kwenye sokaMimi ni nani hata nisiamini kwamba ushirikina upo ikiwa Qur'an,Biblia na karibia vitabu vyote vya dini vinatambua uwepo wake? Kwahiyo soccer ni exceptional sana hata uchawi usiwemo ndani yake?
Eti unauliza kwanini sasa hatufiki fainali? Issue ni kwamba tunazidiwa vitu vingi:vipaji vya wachezaji,mbinu,mipango,uwezo wa kifedha,na ushirikina pia (huu ni catalyst tu) . Au unafikiri hao Al Ahly, TP Mazembe n.k wao wahayajui hayo na hawayafanyi?
Hilo jamaa limejaa Imani za kipumbavu.Unawaza upumbavu tu ndo,ujinga mtupu ,TP Mazembe walishuka Kongwe kutokana na kukosa kibali cha kushukia JKNIA
Matola atakaimu kwa hiki kipindi kifupi cha mpito...na amini mpaka kufika mwezi February uongozi utakuwa ameshamleta kocha mpya na bora kama Sven au kumzidi SvenMatola atatufikisha wapi, siafiki bado
We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.
Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.
Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
Ndo maana serikali inasisitiza matumizi ya condom. Kama condom ingetumika leo hii kusingeandikwa utopolo kama huu. 😁Bwege ni yule mzazi wako wa kike aliyekuzaa.
Yaani uchawi uwepo kwenye nyanja nyingine za maisha ila kwenye soka ndo usiwepo? What makes soccer exceptional?
Sijasema kwamba uchawi pekee unaweza kuibeba timu,hapana! Lazima viwepo vitu vingine vitakavyo combine na uchawi ili kuleta matokeo. Sasa hayo maeneo unayoyataja wanaweza kuwa wanakosa hivyo 'vitu vingine'.
Waulize wachezaji wenyewe kisiri siri watakwambia (achana na zile interviews zao ambazo huwa hawausemi ukweli). Waulize marefarii na wengineo.
Mfano:hivi unaposikia 'misumari' miongoni mwa wachezaji huwa unahisi ni kitu gani hicho? au unadhani haipo?
Ngumu sana kufuatilia mpira wa bongo.
Yaani jana nashangaa jinsi Simba inavyoperform uwanjani eti leo wametimua kocha.
Klabu ipo kwenye mashindano, unaleta kocha mwingine aanze kutengeneza falsafa zake huku timu ipo mashindanoni.
Ni akili kweli?