babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Anafkuzwa mda si mrefuMatola atatufikisha wapi, siafiki bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafkuzwa mda si mrefuMatola atatufikisha wapi, siafiki bado
Labda ila sioni kama ni afyaInategemea na vigezo vilivyotumika kuacha naye
We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana..
Matola ni kocha wa mapunduzi cup tuMatola atatufikisha wapi, siafiki bado
Hahahaha, kawa outshine mapemaHii ndiyo safi anaondoka na CV yake nzuri maana mlikua mnamvizia mumfukuze.
Hizi timu zetu hazitokuja kuacha uswahili!!Sikatai kuondoka kwa kocha,ila kwanini zisiwekwe sababu hadharani ili kila mshabiki na wadau wengine wa soka wajue...
Inawezekana kuelewa mambo ya darasani hayuko vizuri. Wana notes za kutosha huko. Usione watu hawarudi darasani,wamepima upepo.Simba wangefanya km Tp Mazembe kabla hawajaachana na kocha wa Dragan Cvekovic walimpeleka Pamphile kufanya kozi ya miezi mitatu ktk club ya Standard liege ,kisha wakamrudisha na kumpa timu aiongoze tena kuelekea makundi
Huyu matola Simba ingemsomesha zaidi ,sidhani km Mo anashindwa kumsomesha matola kozi
Simba idara yake ya mawasiliano kwa Umma ina shida si bure. Juzi mmesababisha taarifa ya kufungiwa Mkude ilete sintofahamu baada ya kukosa 5W+H, Leo mmerudia tena taarifa ya kuachana na Sven kwa kutoa taarifa inayoelea elea tu.SIMBA SC YAACHANA NA KOCHA SVEN
DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2021
#HABARI: KLABU ya SIMBA SC imetangaza kuachana na kocha wake Mkuu Sven Vanderbroeck kwa makubaliano ya pande zote mbili...
Tena ukome, aliyekwambia Kigoma sisi wachawi Nani?Matatizo mengine yanasababishwa na elimu duni.Basi kumbe timu za Kigoma wangekuwa mabingwa kila mwaka
Wacha mambo ya kitapeli bana...Ulozi una msaada gani Dunia hii?? Hebu fanya wewe ulozi uwe Rais basi au Uwe na Utajiri wa Mo.We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana...