Kocha Mkuu Sven Ven Der Broeck aachana na Simba SC

Umeandika pumba na ujinga. Simba imeanza kushiriki mashindano ya CAF tangu zamani sana.Sasa jiulize kwa nini hapo zamani simba ilikuwa inashindwa kuingia hatua za makundi? Je ni uchawi ulikuwa unazidiwa na timu wanayokutana nayo knock out stage? Au je ni wachezaji walikuwa hawana viwango?

Ngoja nikuambie Simba imefanikiwa kuingia hatua ya makundi sasa na miaka ya karibuni kutokana na kukutana na timu hasiyopishana nayo viwango knock out stage. Simba hajapishana viwango na nkana au platinum kwa hiyo yoyote kufungwa sio ajabu. Hapo zamani kabla ya 2017 timu zilizokuwa zinaunda makundi zilikuwa 8 na ndio maana ilikuwa ngumu kupenya kwa simba au yanga kutokana na kukutana na mpinzani wa kiwango cha juu knock out stage. Ilikuwa kawaida kupangiwa Esperance , al ahly, zamalek n.k .
Hata ukiangalia matokeo ya head to head kwa mechi za kwenye makundi kati ya simba dhidi ya timu zilizojuu ya viwango(al ahly, as vita) ingekuwa knock out stage simba ingekuwa imetolewa.

Tangu mwaka 2017 CAF waliongeza idadi ya timu kutoka 8 hadi 16 na hii kupelekea timu zisizopishana sana viwango kukutana knock out stage.
Ni mjinga tu atakayeamini Nkana au Platinum atafungwa na simba kwa sababu ya kulogwa na si sababu za kimchezo.
 
Tueleze,kilichomuondoa ni nini?Maana inaonekana unakijua!
Siri ya mafanikio ya Simba ni uwekezaji,mpira hauna ndumba!Ingekuwa hivyo,timu za africa zingeshachukua world cup mara nyingi tu!
kwahiyo kwa vile mmewekeza basi na makocha hawatakiwi ?
 
Yani Timu imekuwa ya Mtu binafsi KABISAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaamka mnaambiwa tu huyu kafukuzwaa...yule kasimamishwaa eehe majangaa
 
Tena uongozi wa Simba sc ulichelewa sana kufanya maamuzi haya............Mlitaka astaafu u kocha akiwa au.
 
Wazungu bwanaaa, yaani anaondoka huku yuko kwenye peak kimafaniko, very good strategy...
 
Duuh !
 
Yani Timu imekuwa ya Mtu binafsi KABISAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaamka mnaambiwa tu huyu kafukuzwaa...yule kasimamishwaa eehe majangaa
Utopolo kwanini mnateseka na Simba?Mmefukuza makocha wangapi mpaka sasa?
 
Yani Timu imekuwa ya Mtu binafsi KABISAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaamka mnaambiwa tu huyu kafukuzwaa...yule kasimamishwaa eehe majangaa
wewe ulitakaje uitwe ushauriwe au
 
Kwa nilichokisikia mimi ni kwamba kocha wa simba amepata big deal la kufundisha kilabu fulani kwa offer ya mshahara mkubwa zaidi lakini sio kama kuna missing understand baina ya kocha na viongozi au wachezaji
Na ndomana hata bodi ya wakurugenz haijakaa kujadili na kwenye hiyo taarifa utaona wameandika kocha ataendelea kua mwana familia wa simba maana yake si kwaubaya
 
Uthibitisho upi unataka? Matola alikuwa national team,kaenda kuchukuliwa faster kavuka maji,Kocha ameshaondoka kurudi kwao
Matola uwezo wake mdogo sana kwa kuthibitisha hilo muda utasema.Ni kipigo tu kwenda mbele
 
Basi kwa mtindo huo mganga wao mzuri sana msimu huu watabeba Epl,FA na klabu bingwa Africa
 
Unaandika upuuzi.

Kiswahili chenyewe shida kuandika.
We mpuuzi hivi Deus Kaseke alienda kukagua nini kwenye lango la Prison kama hapo Utopoloni hamuamini ushirikina pia?

Na kama ushirikina hauna nafasi kwenye soka ilikuwaje Kelvin Yondani akomae na 'ile kitu' aliyokuwa amevaa Meddie Kagere siku ile ya Simba vs Yanga? Yaani Yondani alikuwa anapanic kwa kitu ambacho hakina madhara?

Jambo jingine;ulifatilia masimulizi ya KITWANA MANARA,mchezaji mahiri wa zamani wa Yanga,kuhusiana na kile walichokifanya viongozi wa Yanga kwenye ile battle ya kihistoria ya Yanga vs Simba iliyofanyika mwaka 1977 (kama siyo 1976) pale Uwanja wa Nyamagana,Mwanza?

Unajua ni kwanini makomandoo (wa timu zote za VPL, ila hasa zile za Kariakoo) huwa wanalinda sana viwanja kabla na wakati wa mechi za timu zao kwa masaa yote?

We sijui hata 'chandimu' au 'ndondo' kama umewahi kucheza. You totally know nothing.
 
Tatizo sio tu idara ya mawasiliano hata bodi ni shida kitendo cha kocha kujadiliana na ceo na mo badala ya bodi kinaonyesha mapungufu makubwa ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…