Zahera hana pesa za kulipa posho za wachezaji wa yanga,na zahera haidai yanga hata senti 1 ila ukweli ni kwamba jamaa alikuwa analipwa na kikundi cha watu wa pembeni wakiongozwa na Mutoto ya ng'ombe lakini kulikuwa na makubaliano kati ya club na ndaamaa......ambapo mpaka kufikia mwishoni mwa msimu upande wa club ulikuwa hautoi ushirikiano mzuri katka kufikia makubaliano hayo hivyo bwana pedeshee kaamua kuchukua mali zake ikiwemo gari na nyumba ya kocha na kuitaka club ilipe gharama zilizotumika kwa zahera katika msimu uliopita kisha waendelee nae wenyewe......hapo ndipo zahera alipogoma kuja bongo maana hana nyumba ya kuishi na hana usafiri ambavyo vyote vilikuwa inasmamiwa na pedesheeeeee .....kwahiyo ili jamaa arudi inabidi yanga walipe pesa za watu kwanza na kisha kumtafutia nyumba na usafiri bwana zahera ndio aje kusinyaaaaaaaaaaaaaaaa