Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera adaiwa kugoma kurudi Bongo akidai malipo yake

Baada ya kusemekana Kelvin Yondani, Dante na Juma Abdul kugomea mazoezi kisa kudai malimbikizo ya mishahara kuna taarifa za chini pia zinadai kocha mkuu Mwinyi Zahera naye ameweka mgomo wa kurudi Tanzania mpaka alipwe pesa zake.

Taarifa zinadai kuwa kocha Zahera msimu uliopita kuna pesa alikuwa anazitoa mfukoni kwake kwa ajili ya kuendesha timu kama vile kuisafirisha timu na posho za wachezaji
Zahera hana pesa za kulipa posho za wachezaji wa yanga,na zahera haidai yanga hata senti 1 ila ukweli ni kwamba jamaa alikuwa analipwa na kikundi cha watu wa pembeni wakiongozwa na Mutoto ya ng'ombe lakini kulikuwa na makubaliano kati ya club na ndaamaa......ambapo mpaka kufikia mwishoni mwa msimu upande wa club ulikuwa hautoi ushirikiano mzuri katka kufikia makubaliano hayo hivyo bwana pedeshee kaamua kuchukua mali zake ikiwemo gari na nyumba ya kocha na kuitaka club ilipe gharama zilizotumika kwa zahera katika msimu uliopita kisha waendelee nae wenyewe......hapo ndipo zahera alipogoma kuja bongo maana hana nyumba ya kuishi na hana usafiri ambavyo vyote vilikuwa inasmamiwa na pedesheeeeee .....kwahiyo ili jamaa arudi inabidi yanga walipe pesa za watu kwanza na kisha kumtafutia nyumba na usafiri bwana zahera ndio aje kusinyaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hao akina Dante, waende FIFA tu mbona Rostand aliwapeleka FIFA yanga wakaletewa demand notice wamlipe ndani ya siku mbili 60M laasivyo wanafungiwa mbona hela ilipatikana na akalipwa so wakomae tu ila khs mkongo si alijitolea sasa Sadaka sasa ana susa [emoji23] [emoji23]
 
Nimechelewa kufika Dada. Haya vp bado waziamini hizi habari.

Hasa za Zahera? Sababu mtu yupo ndani ya nyumba tayari.

Kama namuona mleta uzi alivyobaki mdomo wazi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahhaa Dada umeamua kurudi baada ya zahera nae kurudi za kuadimika jamani
 
😀😀😀 Wajua tena Dada.

Kama nilikuwa nakuona vile ulivyokuwa unatamani asirudi. Sijuwi tungejificha wapi sisi wapiga mdomo. 😀😀😀
 
Zahera hana pesa za kulipa posho za wachezaji wa yanga,na zahera haidai yanga hata senti 1 ila ukweli ni kwamba jamaa alikuwa analipwa na kikundi cha watu wa pembeni wakiongozwa na Mutoto ya ng'ombe lakini kulikuwa na makubaliano kati ya club na ndaamaa......ambapo mpaka kufikia mwishoni mwa msimu upande wa club ulikuwa hautoi ushirikiano mzuri katka kufikia makubaliano hayo hivyo bwana pedeshee kaamua kuchukua mali zake ikiwemo gari na nyumba ya kocha na kuitaka club ilipe gharama zilizotumika kwa zahera katika msimu uliopita kisha waendelee nae wenyewe......hapo ndipo zahera alipogoma kuja bongo maana hana nyumba ya kuishi na hana usafiri ambavyo vyote vilikuwa inasmamiwa na pedesheeeeee .....kwahiyo ili jamaa arudi inabidi yanga walipe pesa za watu kwanza na kisha kumtafutia nyumba na usafiri bwana zahera ndio aje kusinyaaaaaaaaaaaaaaaa
Fungua hiyo habari hapo chini kwa maelezo zaidi
 
Attachments

[emoji3][emoji3][emoji3] Wajua tena Dada.

Kama nilikuwa nakuona vile ulivyokuwa unatamani asirudi. Sijuwi tungejificha wapi sisi wapiga mdomo. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahah kiukweli mm na mleta mada tulikuwa pamoja sijatamani kabisa huyu mzee kurudi
 
Pole Dada wa mie nalijua hilo fika yaani ni kama mie nikisikia Kilomoni kaliamsha dude ninavyofurahia. 💃💃
 
huyo safari hii watamkoma.kazi kule Congo hana.pitisheni mishahara yakee muone
 
Back
Top Bottom