Kocha mkuu Yanga SC kutimkia Morocco

Kocha mkuu Yanga SC kutimkia Morocco

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa NBC premier league inaelezwa kuwa mkataba wake umekwisha. Habari zinasema kuwa, Nabi amegoma kusaini mkataba mpya na mabingwa hao wa NBC kwani amepata mkataba mnono nchini kwao Morocco.

D441DF71-D286-4FF9-91A4-B718F8CAEB11.jpeg
 
Sioni tatizo. Awepo, asiwepo! Yanga itaendelea kuwepo milele.
Bila yeye ile mechi na coastal vinyesi vingekuwa kwenye chupi,ile sub ya kumtoa mwamnyeto na hakuna aliyemuelewa mpaka yule dogo alipofunga goli,tukubali tu huyu kocha ni wa viwango haeezi kukaa nchi yenye figisu na viwanja vibovu
 
Back
Top Bottom