Kocha mkuu Yanga SC kutimkia Morocco

Kocha mkuu Yanga SC kutimkia Morocco

Kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa NBC premier league inaelezwa kuwa mkataba wake umekwisha. Habari zinasema kuwa, Nabi amegoma kusaini mkataba mpya na mabingwa hao wa NBC kwani amepata mkataba mnono nchini kwao Morocco.

View attachment 2313091
Ungeomba radhi ingependeza sana. Maana uliwauzia watu nyama ya mbwa, halafu ukasema eti ni ya mbuzi.
 
Back
Top Bottom