Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Na asipo sign utaweka wapi sura yakoHivi siku akisaini hizo sura mtaziweka wapi?
Nabi anatakiwa na FAR Rabat, huo ndio ukweli, lazima muukubali, na sio anayeripoti huo ukweli mumuone adui yenu, huo ni ushamba.Vipi Mayele alishaenda huko Kaiza Chiefs?? Makolo wanahofu sana na Yanga!! Hata Kocha akiwa Mbuna ubingwa tunachukua![emoji16]
Mna milioni mia za kumlipa mshahara?Hivi siku akisaini hizo sura mtaziweka wapi?
Bila yeye ile mechi na coastal vinyesi vingekuwa kwenye chupi,ile sub ya kumtoa mwamnyeto na hakuna aliyemuelewa mpaka yule dogo alipofunga goli,tukubali tu huyu kocha ni wa viwango haeezi kukaa nchi yenye figisu na viwanja vibovuSioni tatizo. Awepo, asiwepo! Yanga itaendelea kuwepo milele.
Watamgawana huyo manara kule kwa waarabu hakuna uvumilivu kama wetu hukuAende na manara!
Hii ni habari njemaKocha mkuu wa mabingwa watetezi wa NBC premier league inaelezwa kuwa mkataba wake umekwisha. Habari zinasema kuwa, Nabi amegoma kusaini mkataba mpya na mabingwa hao wa NBC kwani amepata mkataba mnono nchini kwao Morocco.
View attachment 2313091
๐๐๐๐ Na alivo kiroporopo๐๐!!Watamgawana huyo manara kule kwa waarabu hakuna uvumilivu kama wetu huku
Kule mbona mwezi haushi. Washamkamata uwanjani na kipondo๐๐๐๐ Na alivo kiroporopo๐๐!!
Wanamkatakata live wale watu sio kabisa!Kule mbona mwezi haushi. Washamkamata uwanjani na kipondo
Sema kafungiwa nje piaWanamkatakata live wale watu sio kabisa!