Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league.
Viongozi na mashabiki wa Yanga wanatamani kuona timu yao msimu unaokuja kwenye caf champions league na wao japo wafike robo fainal kama watani zao au kuvuka hatua hiyo zaidi.
Endapo Nabi akishindwa kuivusha Yanga hatua ya awali inayotarajiwa kuanza mwezi wa nane hapo hakuna atakaye mvumilia licha ya kuwapa mataji msimu huu.
Nb: mpaka sasa Yanga bado hawajaanza maandalizi kuelekea msimu unaokuja. Rai yangu kumbukeni mnaanzia hatua ya awali.