MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kipofu akiona mwezi uwa anasumbua sana, mkuu umeshinda sawa tuache tupumue basiKocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana...
"Njooni muone ambavyo tutawakabili Simba SC, tuko vizuri, tumejipanga, tutawamudu na hatuna matatizo ya aina yoyote ile"
Kocha Mkwasa baada ya Ruvu Shooting yake kucheza na Simba SC Jana.
"Tumefungwa kwasababu ya Uchovu, kutumia Nguvu Kubwa tulipocheza na Yanga SC na Kupangiwa Ratiba ngumu na wenye Ligi"
Halafu tukiwadharau mnatuchukia.
Ulitaka asemeje, aseme kuwa anaenda kufungwa? We Gentamycine vip bana, sisi wengine tulikuwa tunakuamini sana kwa post zako kumbe muongo hatarKocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana...