Kocha Mkwasa tulikushauri upumzike kuwa Kocha hukutusikia, sasa angalia Ulivyojidhalilisha kwa huu Upuuzi ufuatao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana...

"Njooni muone ambavyo tutawakabili Simba SC, tuko vizuri, tumejipanga, tutawamudu na hatuna matatizo ya aina yoyote ile"

Kocha Mkwasa baada ya Ruvu Shooting yake kucheza na Simba SC Jana.

"Tumefungwa kwasababu ya Uchovu, kutumia Nguvu Kubwa tulipocheza na Yanga SC na Kupangiwa Ratiba ngumu na wenye Ligi"

Halafu tukiwadharau mnatuchukia.
 
Kipofu akiona mwezi uwa anasumbua sana, mkuu umeshinda sawa tuache tupumue basi
 
Kocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana...

"Njooni muone ambavyo tutawakabili Simba SC, tuko vizuri, tumejipanga, tutawamudu na hatuna matatizo ya aina yoyote ile"

Kocha Mkwasa baada ya Ruvu Shooting yake kucheza na Simba SC Jana.

"Tumefungwa kwasababu ya Uchovu, kutumia Nguvu Kubwa tulipocheza na Yanga SC na Kupangiwa Ratiba ngumu na wenye Ligi"

Halafu tukiwadharau mnatuchukia.
Ulitaka asemeje, aseme kuwa anaenda kufungwa? We Gentamycine vip bana, sisi wengine tulikuwa tunakuamini sana kwa post zako kumbe muongo hatar
 
Angeshinda Yanga kwenye mechi yake halafu moo fc mkalazimishwa droo, basi mngekuja na stori za Mkwasa kuuza mechi, na bla bla nyingine nyingiii!

Ila kwa sababu mlipata ushindi, basi ni kukenua 😬😬😬 tu.
 
Back
Top Bottom