MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana...
"Njooni muone ambavyo tutawakabili Simba SC, tuko vizuri, tumejipanga, tutawamudu na hatuna matatizo ya aina yoyote ile"
Kocha Mkwasa baada ya Ruvu Shooting yake kucheza na Simba SC Jana.
"Tumefungwa kwasababu ya Uchovu, kutumia Nguvu Kubwa tulipocheza na Yanga SC na Kupangiwa Ratiba ngumu na wenye Ligi"
Halafu tukiwadharau mnatuchukia.