Kocha mpya Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu

Kocha mpya Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu

Kumbukeni tu kocha yoyote yule mpya lazima apewe muda wa kuijenga timu na kuimplement mfumo wake.
 
Kweli Tanzania ina mashabiki Maandazi sana. Kila MTU Anajidai Anajua mpira na kujifanya coach.

Huyu coach Aachwe Atengeneze timu. Tuache kuishi kwa mazoea.

Ndio maana timu za waarabu zinafanya vizuri kwenye Mashindano makubwa, kitokana na falsafa ya mpira wa kasi Ambao coach wa Simba Anataka kuileta kwenye timu.

Nakumbuka Sven Alipokuja Simba baadhi ya mashabiki Maandazi walianza kumzodoa wakisema wanamtaka Bw Uchebe. Lakini baada ya muda Pira biriani tulianza kuliona.

Ifikie maali makocha waachwe wafanye kazi Leo Arsenal wasinge mvumilia Arteta Leo timu yao isingekua inaongoza ligi.

Tumpe muda kocha maana hata ukimsikiliza Ana MALENGO makubwa na Simba. Ushamba wa kumtegemea chama ndio akiwa hayupo timu inastrago kupata matokeo kutokana na hakuna mfumo mzuri wa kutengeneza nafasi
 
Kocha mpya wa Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu asitake kutuletea falsafa zake zisizo eleweka hapa. Inajulikana siku zote kuwa Simba falsafa yake ni kuanzisha mashambulizi kwa kutumia viungo na sio mawinga hilo anatakiwa kulijua tofauti na hapo maisha yake ndani ya Simba ni mafupi sana.

Timu inayo amini kutengeneza mashambulizi kupitia mawinga ni Utopolo na ndio maana inapenda kusajili wachezaji wanao kimbia kimbia hovyo kama vichaa.

Mechi ya jana uwezo binafisi wa wachezaji ndo umeamuwa matokea na sio mbinu jana Simba kipindi cha pili ilicheza mpila wa hovyo kabisa, kwa sababu ya kukosa kiungo wa kuchezesha timu baada ya chama kutoka.

Anacho takiwa ni kuhakikisha chama anaingia kwenye mfumo wake na sio kumpiga bechi, watu wanasema eti chama ni mchezaji wa taratibu lakini wanasahau kuwa kipindi cha Uchebe na kishingo Simba ilikuwa inafanya mashambulizi kwa kasi ya ajabu na Chama alikuwa miongoni mwa hicho kikosi.

Kama hawezi kufuata falsafa ya Simba asepe tu sisi tunahitaji mpira wa kutumia akili na sio mipira ya kushika na kubutua mbele ili wachezaji wakimbizane kama vichaa kwenda kufunga.
Hii falsafa imeanzishwa na nani na mwaka gani? Imepitishwa na kikao gani na kwa lengo lipi?
Kabla ya Chama ambaye ndo dhahiri unamaanisha timu ijengwe juu yake, timu ilikuwa inajengwa juu ya kiungo gani?
 
Ww ndo hujui lolote kila timu duniani ina farsafa yake na kocha akija anatakiwa kuiboresha na sio kuibadilisha.
Mfano Baserona farsafa yake ni kucheza mpila wa pasi kocha hawezi kwenda pale akaleta falsafa ya kubutua butua ukavumiliwa.

Kama kocha anahukumiwa na matokeo basi mechi ya jana yame muhukumu, hivi kama timu ina shindwa kumiliki mpila mbele ya mbeya city iliyo pungufu je ungekuwa inacheza na Casabranca iliyo kamili Kwenye makundi ya ligi ya mabingwa?
Ulipoandika BASERONA umemaliza mjadala Mkuu. Wewe ni Mburula huna unalojua.
 
Mzamiru tatizo umri, binafsi sijui kwanini Okwa hakuwahi kupewa nafasi ya kucheza mpira Simba, sijalewa kabisa..
Tatizo kelele za mashabiki, au la alipigwa misumari na wahuni
 
Dunia gani hiyo ya mpira huo unaousema??, Mashabiki wa Tz bana sijui ni ujinga au kujua kusiko na maana!!. Kila kocha Duniani ana mtindo na falsa yake anayoiamini katkika kufundisha, na timu inapoamua kumpa mkataba kocha walishajua ni muumini wa mfumo upi kiuchezaji...!!, Hili la kulazimisha kocha afate falsa ya timu sijui no ujinga wa Ktz au kutokujua? Kama kocha anapata matokeo huo wewe unataka Nini?. Tupunguze ujuaji wa hovyohovyo tuwaache makocha waache makocha wafundishe mpira kwa ufundi na wanachokiamini Kama walimu. Kocha anahukumiwa akikosa matokeo tu.
We ndio hovyo kabisa.Kumbuka mada hii ni kwa vile alimtoa Chama mapema mno.

Kama hutaki nyamaza tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Chama hana ukubwa huo - simba ni kubwa sana
 
Kosa ni la kocha au waliotoa kibarua cha kocha katikati ya msimu?

Kocha yoyote anapopewa timu, mwanzoni ni lazima anatumia muda kutafuta mfumo sahihi, wakati huo huo akiwa na kazi ya kutafuta matokeo...

Si jambo rahisi haswa inapokuwa ni katikati ya ligi...
 
Back
Top Bottom