hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Sisi hatuitaji timu inayo tegemea bahati kushinda bali tunahitaji timu inayo cheza mpira una eleweka ,ebu fikiria mpila ulio chezwa na simba jana baada ya chama kutoka alafu ndo mnacheza na Casabranca kwenye makundi ya ligi ya mabingwa nini kingetokea si ilikuwa ni kuoga magoli?
unazungumzia timu mbili tofauti hapo, kila mtu au kila kocha anakuja na mfumo wake
kwa hayo mawazo yako basi tusiwe na kocha, wakati wa mechi list si inajulikana? wacheze tu
why mnataka kuwe na kocha na hamtaki mawazo yake?
huo ni ujinga