joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
SakhoLakini hata kukiamuwa tutumie mawinga kwa mawinga gani tulio nao akina kibu?
mkuu Mzamiru anaweza kuwa katoboa 30 kwani ?Mzamiru tatizo umri, binafsi sijui kwanini Okwa hakuwahi kupewa nafasi ya kucheza mpira Simba, sijalewa kabisa..
Hii falsafa imeanzishwa na nani na mwaka gani? Imepitishwa na kikao gani na kwa lengo lipi?Kocha mpya wa Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu asitake kutuletea falsafa zake zisizo eleweka hapa. Inajulikana siku zote kuwa Simba falsafa yake ni kuanzisha mashambulizi kwa kutumia viungo na sio mawinga hilo anatakiwa kulijua tofauti na hapo maisha yake ndani ya Simba ni mafupi sana.
Timu inayo amini kutengeneza mashambulizi kupitia mawinga ni Utopolo na ndio maana inapenda kusajili wachezaji wanao kimbia kimbia hovyo kama vichaa.
Mechi ya jana uwezo binafisi wa wachezaji ndo umeamuwa matokea na sio mbinu jana Simba kipindi cha pili ilicheza mpila wa hovyo kabisa, kwa sababu ya kukosa kiungo wa kuchezesha timu baada ya chama kutoka.
Anacho takiwa ni kuhakikisha chama anaingia kwenye mfumo wake na sio kumpiga bechi, watu wanasema eti chama ni mchezaji wa taratibu lakini wanasahau kuwa kipindi cha Uchebe na kishingo Simba ilikuwa inafanya mashambulizi kwa kasi ya ajabu na Chama alikuwa miongoni mwa hicho kikosi.
Kama hawezi kufuata falsafa ya Simba asepe tu sisi tunahitaji mpira wa kutumia akili na sio mipira ya kushika na kubutua mbele ili wachezaji wakimbizane kama vichaa kwenda kufunga.
Ulipoandika BASERONA umemaliza mjadala Mkuu. Wewe ni Mburula huna unalojua.Ww ndo hujui lolote kila timu duniani ina farsafa yake na kocha akija anatakiwa kuiboresha na sio kuibadilisha.
Mfano Baserona farsafa yake ni kucheza mpila wa pasi kocha hawezi kwenda pale akaleta falsafa ya kubutua butua ukavumiliwa.
Kama kocha anahukumiwa na matokeo basi mechi ya jana yame muhukumu, hivi kama timu ina shindwa kumiliki mpila mbele ya mbeya city iliyo pungufu je ungekuwa inacheza na Casabranca iliyo kamili Kwenye makundi ya ligi ya mabingwa?
Tatizo kelele za mashabiki, au la alipigwa misumari na wahuniMzamiru tatizo umri, binafsi sijui kwanini Okwa hakuwahi kupewa nafasi ya kucheza mpira Simba, sijalewa kabisa..
We ndio hovyo kabisa.Kumbuka mada hii ni kwa vile alimtoa Chama mapema mno.Dunia gani hiyo ya mpira huo unaousema??, Mashabiki wa Tz bana sijui ni ujinga au kujua kusiko na maana!!. Kila kocha Duniani ana mtindo na falsa yake anayoiamini katkika kufundisha, na timu inapoamua kumpa mkataba kocha walishajua ni muumini wa mfumo upi kiuchezaji...!!, Hili la kulazimisha kocha afate falsa ya timu sijui no ujinga wa Ktz au kutokujua? Kama kocha anapata matokeo huo wewe unataka Nini?. Tupunguze ujuaji wa hovyohovyo tuwaache makocha waache makocha wafundishe mpira kwa ufundi na wanachokiamini Kama walimu. Kocha anahukumiwa akikosa matokeo tu.
Acha utani[emoji2][emoji2][emoji2]mkuu Mzamiru anaweza kuwa katoboa 30 kwani ?