Kocha mpya unaekuja wa United panga timu yako hivi ili umalize top 6

Kweli kabisa, He should be dropped , mtu ana 25+yrs eti bado anajitafuta aaah wapi.
Ten Hag ni funzo kwa makocha wengine, mmeharibu hela nyingi kununua wachezaji wengi ambao hawana umuhimu, kila msimu mnasajili kwa bei mbaya, alitaka wachezaji wake wa ajax akapewa lakini wapi! eti Antony Euro 80M, wachezaji anaosajili hawana chemistry, wachezaji wametofautiana mpira, hata hajui wachezaji anaowataka, hivi hao mascout wa ManU hawamshauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…