Kocha mpya wa Simba atua Dar, Mtibwa wamdaka Airport na kumalizana nae

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Ni yule Mbelgiji Piet de Mol.Pichani akiwa na kiongozi wa MTIBWA SUGAR Jamal Bayser ofisini kwake leo asbh.
 
Attachments

  • IMG-20150521-WA0007.jpg
    IMG-20150521-WA0007.jpg
    46.6 KB · Views: 778
  • IMG-20150521-WA0016.jpg
    IMG-20150521-WA0016.jpg
    24.5 KB · Views: 761
Teh teh teh,mbona mwaka huu Mambumbumbu watafanyiwa mchezo wa Pauka Pakawa na Viongozi wao mpaka wakome,huu si usanii wa hali ya juu kabisa jamani watakuja kulalama hapa kuwa Mtibwa wamewafanyia umafia wakati wao hawana hela ya kuchukua kocha wa kigeni.
 
Ni yule Mbelgiji Piet de Mol.Pichani akiwa na kiongozi wa MTIBWA SUGAR Jamal Bayser ofisini kwake leo asbh.

Ni Lini Simba Walikutangazia Kuwa Wanamtarajia Kocha POPOMA Kama Huyo? Simba Ni Taasisi Ambayo Ina Taratibu Zake Na Hizo Habari Za Umbea Na Za Ki MAGOMENI MAPIPA Zipeleke Kwa Wendawazimu Wenzio Mafurikoni Pale Ambako Chupi Za Plumj Na Muro Zilisombwa Na Maji!
 
Acha "kumbwela" dogo tulia!!!!!
 
Ni Lini Simba Walikutangazia Kuwa Wanamtarajia Kocha POPOMA Kama Huyo? Simba Ni Taasisi Ambayo Ina Taratibu Zake Na Hizo Habari Za Umbea Na Za Ki MAGOMENI MAPIPA Zipeleke Kwa Wendawazimu Wenzio Mafurikoni Pale Ambako Chupi Za Plumj Na Muro Zilisombwa Na Maji!

Duh ama kweli hasira zimekupanda kweli kweli
 
Ni Lini Simba Walikutangazia Kuwa Wanamtarajia Kocha POPOMA Kama Huyo? Simba Ni Taasisi Ambayo Ina Taratibu Zake Na Hizo Habari Za Umbea Na Za Ki MAGOMENI MAPIPA Zipeleke Kwa Wendawazimu Wenzio Mafurikoni Pale Ambako Chupi Za Plumj Na Muro Zilisombwa Na Maji!

Hasira za kukosa nafasi ya pili hizo! Tehe Tehe.
 
Ni Lini Simba Walikutangazia Kuwa Wanamtarajia Kocha POPOMA Kama Huyo? Simba Ni Taasisi Ambayo Ina Taratibu Zake Na Hizo Habari Za Umbea Na Za Ki MAGOMENI MAPIPA Zipeleke Kwa Wendawazimu Wenzio Mafurikoni Pale Ambako Chupi Za Plumj Na Muro Zilisombwa Na Maji!

Hebu soma hapa:

www.bongostaz.blogspot.com/2015/05/piet-de-mol-aja-kurithi-mikoba-ya-cha.html?m=1
 
Back
Top Bottom