Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yule Mbelgiji Piet de Mol.Pichani akiwa na kiongozi wa MTIBWA SUGAR Jamal Bayser ofisini kwake leo asbh.
Acha "kumbwela" dogo tulia!!!!!Ni Lini Simba Walikutangazia Kuwa Wanamtarajia Kocha POPOMA Kama Huyo? Simba Ni Taasisi Ambayo Ina Taratibu Zake Na Hizo Habari Za Umbea Na Za Ki MAGOMENI MAPIPA Zipeleke Kwa Wendawazimu Wenzio Mafurikoni Pale Ambako Chupi Za Plumj Na Muro Zilisombwa Na Maji!
Acha "kumbwela" dogo tulia!!!!!
hataamini baada ya miezi kadhaa watamtimua kama mbwa.
huku kwetu wazungu wanauza ugoro.Tangia Lini Mzungu Mwenye AKILI Timamu Na ZILIZOTIMILIKA Akakaa Ktk Mashamba Ya Miwa Huku Aking'atwa Na Siafu? Huyo Mzungu Jini?
huku kwetu wazungu wanauza ugoro.
hawa wazungu wamevamia Rombo kwa wingi hawapendi kusumbuliwa.Kuna wazungu wengine wanauza ndizi kwa bei ya rejareja...
![]()
hawa wazungu wamevamia Rombo kwa wingi hawapendi kusumbuliwa.
Hawapendi kusumbuliwa na nani?
Ni Lini Simba Walikutangazia Kuwa Wanamtarajia Kocha POPOMA Kama Huyo? Simba Ni Taasisi Ambayo Ina Taratibu Zake Na Hizo Habari Za Umbea Na Za Ki MAGOMENI MAPIPA Zipeleke Kwa Wendawazimu Wenzio Mafurikoni Pale Ambako Chupi Za Plumj Na Muro Zilisombwa Na Maji!
miji mingine wanapata usumbufu wakutongozwa kila wapitapo.
hapo rombo hakuna mwenye time nao.
Ha ha ha unaamu ya laana za kirombo we kyasakamiji mingine wanapata usumbufu wakutongozwa kila wapitapo.
hapo rombo hakuna mwenye time nao.
Ni Lini Simba Walikutangazia Kuwa Wanamtarajia Kocha POPOMA Kama Huyo? Simba Ni Taasisi Ambayo Ina Taratibu Zake Na Hizo Habari Za Umbea Na Za Ki MAGOMENI MAPIPA Zipeleke Kwa Wendawazimu Wenzio Mafurikoni Pale Ambako Chupi Za Plumj Na Muro Zilisombwa Na Maji!
Ha ha ha unaamu ya laana za kirombo we kyasaka