Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Rage lile neno halikumtoka bahati mbaya anawajua hao watuTaarifa rasmi ya klabu imesema hana sifa ya kukaa kwenye benchi? Ebu tuonyeshe iyo taarifa ya klabu iliyosema icho unachokizungumzia,, Mbona unakuwa kama mwezi mchanga? Bodi ya ligi na tff walimpaje leseni ya kufundisha kama walijua amevunja kanuni?
Taarifa rasmi ya Klabu inasema ana elimu ya UEFA A, kanuni za Ligi ambazo nimekuwekea hapo juu zinataka kocha awe na Leseni ya Diploma A au UEFA Pro na, akili yako ni ndogo kuweza kuelewa nilichoandika,usikurupuke,tafuta mtu mwenye akili akutafsirie nilichoandika,wewe ni kilaza sanaTaarifa rasmi ya klabu imesema hana sifa ya kukaa kwenye benchi? Ebu tuonyeshe iyo taarifa ya klabu iliyosema icho unachokizungumzia,, Mbona unakuwa kama mwezi mchanga? Bodi ya ligi na tff walimpaje leseni ya kufundisha kama walijua amevunja kanuni?
Kwa hiyo huyo kocha we kwa tafsiri yako anatoka nje ya Africa. Mbona ana sifa.View attachment 3225734
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud atalazimika kushushwa cheo na kuwa kocha msaidizi kwa daraja lake la leseni halitoshi kumfanya awe kocha Mkuu wa timu inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC na badala yake anapaswa kuwa msaidizi.
.
Yanga ilianika hadharani wasifu wake ambao ulionyesha kuwa Mualgeria huyo ana leseni daraja A iliyotolewa na Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (Uefa).
.
Kanuni ya 77 ya Ligi Kuu imefafanua sifa za kocha mojawapo ikiwa ni hadhi ya leseni inayofafanua kuwa kocha mwenye leseni kutoka nje ya Afrika anapaswa kuwa na ngazi ya Pro Diploma ambayo kwa Afrika ni sawa na Diploma daraja A.
.
3.1 “Kocha mkuu wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau Pro Diploma au inayolingana nayo. 3.2 Kocha msaidizi wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau A Diploma au inayolingana nayo.
.
“Kocha wa timu ya Ligi Kuu kutoka nje ya Tanzania ni lazima awe amefundisha klabu ya Ligi Kuu au timu ya Taifa katika nchi yoyote ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita,” inafafanua kanuni hiyo
.
Wakati kanuni zikimbana Miloud, kocha msaidizi Abdihamid Moalin yeye ana sifa stahiki za kuliongoza benchi la ufundi la Yanga kwa vile ana leseni daraja A inayotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika
Sifa zipi ukilinganisha na zinazotakiwa? Ziweke badala ya brah brahKwa hiyo huyo kocha we kwa tafsiri yako anatoka nje ya Africa. Mbona ana sifa.
Kama Anatoka ndani ya Afrika anatakiwa kuwa na Diploma A ya CAF,je huyo kocha anayo?Kwa hiyo huyo kocha we kwa tafsiri yako anatoka nje ya Africa. Mbona ana sifa.
Hawa jamaa wabishi sana,Hata kanuni hawasomiSifa zipi ukilinganisha na zinazotakiwa? Ziweke badala ya brah brah
Basi subilia kama atokaa benchi kuanzia mechi na Jkt Tanzania alafu utakuja utueleze amesoma lini kuipata iyo diploma A na UEFA pro,,taka taka kama nyie uwa sipendi kubishana na nyie tabia za waha tunazijua,,ninaitunza hii risitiTaarifa rasmi ya Klabu inasema ana elimu ya UEFA A, kanuni za Ligi ambazo nimekuwekea hapo juu zinataka kocha awe na Leseni ya Diploma A au UEFA Pro na, akili yako ni ndogo kuweza kuelewa nilichoandika,usikurupuke,tafuta mtu mwenye akili akutafsirie nilichoandika,wewe ni kilaza sana
Daraja A ya UEFA na Diploma A ya CAF ipi kubwa?Kama Anatoka ndani ya Afrika anatakiwa kuwa na Diploma A ya CAF,je huyo kocha anayo?
Basi subilia kama atokaa benchi kuanzia mechi na Jkt Tanzania alafu utakuja utueleze amesoma lini kuipata iyo diploma A na UEFA pro,,taka taka kama nyie uwa sipendi kubishana na nyie tabia za waha tunazijua,,ninaitunza hii risiti
Hapo juu amesema ana UEFA daraja A, wakati kwenye ligi inatakiwa Diploma A, au hujasoma alichoandika. Sasa hapo utasemaje hakidhi vigezo.Sifa zipi ukilinganisha na zinazotakiwa? Ziweke badala ya brah brah
Diploma A ya CAF ni sawa na UEFA A,Sasa TFF wanataka kama kocha anatoka au ana elimu ya nje ya Afrika awe na elimu inayozidi ya CAF hivyo Leseni Pro ya bara aliposoma.Daraja A ya UEFA na Diploma A ya CAF ipi kubwa?
Bwana we ebu pita kushoto siwezi kuendelea kubishana na empty brain kama wewe,,si usubili sasa mechi ijayo uone kama atakuwepo ama atokuwepo? Shida yako nini? Kanuni iyo iyo uilete Tena kwenye mechi ijayo na Jkt,,na utaeleza amekaa pale kwa kanuni ipi!Akili yako ina makengeza huwezi kunielewa,katafute mtu mwenye akili akutafsirie nilichoandika,wewe ni kilaza sana,pamoja na kukuwekea taarifa ya Yanga na nukuu ya kanuni hujaelewa Bado hivyo wa kuilaumu ni akili yako ndogo kijana Pole sana ni background yako duni ya elimu ndio sababu ya yote haya
Huyu kocha ana Uraia wa Algeria na Ufaransa. Ni mwafrika kindakindaki, huna hoja.Diploma A ya CAF ni sawa na UEFA A,Sasa TFF wanataka kama kocha anatoka au ana elimu ya nje ya Afrika awe na elimu inayozidi ya CAF hivyo Leseni Pro ya bara aliposoma.
Hapo juu amesema ana UEFA daraja A, wakati kwenye ligi inatakiwa Diploma A, au hujasoma alichoandika. Sasa hapo utasemaje hakidhi vigezo.
Nimekuelewa mkuu, hoja yangu kocha ana sifa. Sababu katokea Afrika.UEFA Wana madaraja ya leseni kwa Mfumo wa C,B,A na Pro,CAF madaraja hayo hayo wanayaita CAF Diploma C,B,A na Pro,UEFA daraja A ni sawa na CAF Diploma A
At least hapa naongea na mtu mwenye akili,hoja kwa hoja,sio yule kilaza, Kwani Yusuf Dabo si Mwafrika kindakindaki kutoka Senegal?Mbona yeye ana UEFA A license na alikosa sifa ya kuwa Kocha Mkuu ndio maana tuzo alikuwa anachukua yule mzungu,Inakuwaje Dabo akose sifa halafu Hamdi awe na sifa wakati wana elimu sawa?Yule kilaza hawezi kujibu haya.Kumbuka reference yangu ni Kwa mujibu wa taarifa ya Yanga na Kanuni za ligiHuyu koc
Huyu kocha ana Uraia wa Algeria na Ufaransa. Ni mwafrika kindakindaki, huna hoja.
Yusuf Dabo naye ametokea Afrika, Senegal na ana UEFA A license kama aliyonayo Hamdi,inakuwaje yeye alikosa sifa halafu Hamdi awe na sifa?Nimekuelewa mkuu, hoja yangu kocha ana sifa. Sababu katokea Afrika.
Bwana we ebu pita kushoto siwezi kuendelea kubishana na empty brain kama wewe,,si usubili sasa mechi ijayo uone kama atakuwepo ama atokuwepo? Shida yako nini? Kanuni iyo iyo uilete Tena kwenye mechi ijayo na Jkt,,na utaeleza amekaa pale kwa kanuni ipi!
Sio kwamba Dabo alikuwa na shida ya kuhuisha leseni yake mkuu. Basi inawezekana.At least hapa naongea na mtu mwenye akili,hoja kwa hoja,sio yule kilaza, Kwani Yusuf Dabo si Mwafrika kindakindaki kutoka Senegal?Mbona yeye ana UEFA A license na alikosa sifa ya kuwa Kocha Mkuu ndio maana tuzo alikuwa anachukua yule mzungu,Inakuwaje Dabo akose sifa halafu Hamdi awe na sifa wakati wana elimu sawa?Yule kilaza hawezi kujibu haya.Kumbuka reference yangu ni Kwa mujibu wa taarifa ya Yanga na Kanuni za ligi