Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,Dabo alikosa sifa kwa sababu ya kukosa UEFA Pro au CAF license A,Kuanzia mwaka juzi TFF waliweka vigezo vikubwa kuliko Hata ligi kubwa Afrika,ndio maana sasa hivi Dabo ni kocha mkuu wa AS Vita huko Congo ambalo UEFA A inaruhusiwa.Sio kwamba Dabo alikuwa na shida ya kuhuisha leseni yake mkuu. Basi inawezekana.
Swali langu kwako ni Moja Tu Huyo Kocha uraia unasoma ni WA Algeria...ila MAELEZO yako yanalazimisha kwamba yeye ni WA ufaransa Huoni kwamba unachanganya madesaView attachment 3225734
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud atalazimika kushushwa cheo na kuwa kocha msaidizi kwa daraja lake la leseni halitoshi kumfanya awe kocha Mkuu wa timu inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC na badala yake anapaswa kuwa msaidizi.
.
Yanga ilianika hadharani wasifu wake ambao ulionyesha kuwa Mualgeria huyo ana leseni daraja A iliyotolewa na Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (Uefa).
.
Kanuni ya 77 ya Ligi Kuu imefafanua sifa za kocha mojawapo ikiwa ni hadhi ya leseni inayofafanua kuwa kocha mwenye leseni kutoka nje ya Afrika anapaswa kuwa na ngazi ya Pro Diploma ambayo kwa Afrika ni sawa na Diploma daraja A.
.
3.1 “Kocha mkuu wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau Pro Diploma au inayolingana nayo. 3.2 Kocha msaidizi wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau A Diploma au inayolingana nayo.
.
“Kocha wa timu ya Ligi Kuu kutoka nje ya Tanzania ni lazima awe amefundisha klabu ya Ligi Kuu au timu ya Taifa katika nchi yoyote ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita,” inafafanua kanuni hiyo
.
Wakati kanuni zikimbana Miloud, kocha msaidizi Abdihamid Moalin yeye ana sifa stahiki za kuliongoza benchi la ufundi la Yanga kwa vile ana leseni daraja A inayotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika
Muda wote huu tunabishana kuhusu mpira halafu kumbe hamna kitu unachojua?Unajua msiwe mnadandia dandia tu vihabari kwenye mitandao bila kujiridhisha,,unasema hana sifa za kukaa kwenye benchi la yanga,,swali ni Moja tu na ulijibu imekuwaje tff wakampa leseni ya kuifundisha timu ya ligi kuu kama hana sifa stahiki?
Tff wasingempa leseni kama akidhi vigezo,,au pale singida alikuwa anaenda kuwa kocha msaidizi?
HAJASEMA HATAKAA KWENYE BENCHI, ATAKAA KWENYE BENCHI ILA HATATAMBULIKA NA TFF KAMA KOCHA MKUU, TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI ATACHUKUA MOALINI NA SIO YEYE.Basi subilia kama atokaa benchi kuanzia mechi na Jkt Tanzania alafu utakuja utueleze amesoma lini kuipata iyo diploma A na UEFA pro,,taka taka kama nyie uwa sipendi kubishana na nyie tabia za waha tunazijua,,ninaitunza hii risiti
Sasa hapo Kuna effect Gani kwa kocha na timu anayoifundisha? Angekuwa akai kabisa anakaa jukwaani kungekuwa na logic but yupo pale na mambo yote ya kiufundi anashughulika nayo ata kama anamuelekeza amolini bado aiathiri chochote hizo tuzo aziithiri klabu chochote kiufundi na kimbinu!HAJASEMA HATAKAA KWENYE BENCHI, ATAKAA KWENYE BENCHI ILA HATATAMBULIKA NA TFF KAMA KOCHA MKUU, TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI ATACHUKUA MOALINI NA SIO YEYE.
HAAHAAHAAHAAH WE JAMAA KUMBE MWEUPE TU HAMNA KITU.
🚮🚮🚮🚮Muda wote huu tunabishana kuhusu mpira halafu kumbe hamna kitu unachojua?
Yaani hata hili haulijui? Nimekudharau sana, yaani kumbe we ni bogus hivi.
Swali je hajawahi kujiendelezaView attachment 3225734
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud atalazimika kushushwa cheo na kuwa kocha msaidizi kwa daraja lake la leseni halitoshi kumfanya awe kocha Mkuu wa timu inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC na badala yake anapaswa kuwa msaidizi.
.
Yanga ilianika hadharani wasifu wake ambao ulionyesha kuwa Mualgeria huyo ana leseni daraja A iliyotolewa na Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (Uefa).
.
Kanuni ya 77 ya Ligi Kuu imefafanua sifa za kocha mojawapo ikiwa ni hadhi ya leseni inayofafanua kuwa kocha mwenye leseni kutoka nje ya Afrika anapaswa kuwa na ngazi ya Pro Diploma ambayo kwa Afrika ni sawa na Diploma daraja A.
.
3.1 “Kocha mkuu wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau Pro Diploma au inayolingana nayo. 3.2 Kocha msaidizi wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau A Diploma au inayolingana nayo.
.
“Kocha wa timu ya Ligi Kuu kutoka nje ya Tanzania ni lazima awe amefundisha klabu ya Ligi Kuu au timu ya Taifa katika nchi yoyote ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita,” inafafanua kanuni hiyo
.
Wakati kanuni zikimbana Miloud, kocha msaidizi Abdihamid Moalin yeye ana sifa stahiki za kuliongoza benchi la ufundi la Yanga kwa vile ana leseni daraja A inayotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika
Hilo linatakiwa kujibiwa na Yanga,kwa nini wameshindwa ku update elimu yake kwenye taarifa yao rasmi kama ni kweli alijiendeleza maana wametaja elimu yake kuwa ni leseni ya UEFA ASwali je hajawahi kujiendeleza
Acheni porojo yanga siyo timu ndogo
Nimekwambia huyu ni kilaza Pro,anakurupuka kujibu bila hata kusoma post inajadili nini,angalia sasa alivyoangukia pua.HAJASEMA HATAKAA KWENYE BENCHI, ATAKAA KWENYE BENCHI ILA HATATAMBULIKA NA TFF KAMA KOCHA MKUU, TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI ATACHUKUA MOALINI NA SIO YEYE.
HAAHAAHAAHAAH WE JAMAA KUMBE MWEUPE TU HAMNA KITU.
Hivi yule aliyetunga "makolo" aliishaifuta ile statement yake " ya wawili tu ndio wana akili pale utopolo!?"Huo ni umoja wa makolo