Kocha mpya wa Yanga hana sifa za kuwa Kocha Mkuu wa Ligi Kuu ya Tanzania

Kwa hiyo kimsingi Hamidu pale benchi hana nafasi bali ni mkunja ngumi tu??
 
Taarifa rasmi ya klabu imesema hana sifa ya kukaa kwenye benchi? Ebu tuonyeshe iyo taarifa ya klabu iliyosema icho unachokizungumzia,, Mbona unakuwa kama mwezi mchanga? Bodi ya ligi na tff walimpaje leseni ya kufundisha kama walijua amevunja kanuni?
Mzee Rage lile neno halikumtoka bahati mbaya anawajua hao watu
 
Taarifa rasmi ya klabu imesema hana sifa ya kukaa kwenye benchi? Ebu tuonyeshe iyo taarifa ya klabu iliyosema icho unachokizungumzia,, Mbona unakuwa kama mwezi mchanga? Bodi ya ligi na tff walimpaje leseni ya kufundisha kama walijua amevunja kanuni?
Taarifa rasmi ya Klabu inasema ana elimu ya UEFA A, kanuni za Ligi ambazo nimekuwekea hapo juu zinataka kocha awe na Leseni ya Diploma A au UEFA Pro na, akili yako ni ndogo kuweza kuelewa nilichoandika,usikurupuke,tafuta mtu mwenye akili akutafsirie nilichoandika,wewe ni kilaza sana
 
Attachments

  • Screenshot_20250205-155244.png
    1.3 MB · Views: 2
Reactions: Tui
Kwa hiyo huyo kocha we kwa tafsiri yako anatoka nje ya Africa. Mbona ana sifa.
 
Basi subilia kama atokaa benchi kuanzia mechi na Jkt Tanzania alafu utakuja utueleze amesoma lini kuipata iyo diploma A na UEFA pro,,taka taka kama nyie uwa sipendi kubishana na nyie tabia za waha tunazijua,,ninaitunza hii risiti
 
Akili yako ina makengeza huwezi kunielewa,katafute mtu mwenye akili akutafsirie nilichoandika,wewe ni kilaza sana,pamoja na kukuwekea taarifa ya Yanga na nukuu ya kanuni hujaelewa Bado hivyo wa kuilaumu ni akili yako ndogo kijana Pole sana ni background yako duni ya elimu ndio sababu ya yote haya
Basi subilia kama atokaa benchi kuanzia mechi na Jkt Tanzania alafu utakuja utueleze amesoma lini kuipata iyo diploma A na UEFA pro,,taka taka kama nyie uwa sipendi kubishana na nyie tabia za waha tunazijua,,ninaitunza hii risiti
 
Reactions: Tui
Sifa zipi ukilinganisha na zinazotakiwa? Ziweke badala ya brah brah
Hapo juu amesema ana UEFA daraja A, wakati kwenye ligi inatakiwa Diploma A, au hujasoma alichoandika. Sasa hapo utasemaje hakidhi vigezo.
 
Daraja A ya UEFA na Diploma A ya CAF ipi kubwa?
Diploma A ya CAF ni sawa na UEFA A,Sasa TFF wanataka kama kocha anatoka au ana elimu ya nje ya Afrika awe na elimu inayozidi ya CAF hivyo Leseni Pro ya bara aliposoma.
 
Bwana we ebu pita kushoto siwezi kuendelea kubishana na empty brain kama wewe,,si usubili sasa mechi ijayo uone kama atakuwepo ama atokuwepo? Shida yako nini? Kanuni iyo iyo uilete Tena kwenye mechi ijayo na Jkt,,na utaeleza amekaa pale kwa kanuni ipi!
 
Huyu koc
Diploma A ya CAF ni sawa na UEFA A,Sasa TFF wanataka kama kocha anatoka au ana elimu ya nje ya Afrika awe na elimu inayozidi ya CAF hivyo Leseni Pro ya bara aliposoma.
Huyu kocha ana Uraia wa Algeria na Ufaransa. Ni mwafrika kindakindaki, huna hoja.
 
UEFA Wana madaraja ya leseni kwa Mfumo wa C,B,A na Pro,CAF madaraja hayo hayo wanayaita CAF Diploma C,B,A na Pro,UEFA daraja A ni sawa na CAF Diploma A
Hapo juu amesema ana UEFA daraja A, wakati kwenye ligi inatakiwa Diploma A, au hujasoma alichoandika. Sasa hapo utasemaje hakidhi vigezo.
 
UEFA Wana madaraja ya leseni kwa Mfumo wa C,B,A na Pro,CAF madaraja hayo hayo wanayaita CAF Diploma C,B,A na Pro,UEFA daraja A ni sawa na CAF Diploma A
Nimekuelewa mkuu, hoja yangu kocha ana sifa. Sababu katokea Afrika.
 
Huyu koc

Huyu kocha ana Uraia wa Algeria na Ufaransa. Ni mwafrika kindakindaki, huna hoja.
At least hapa naongea na mtu mwenye akili,hoja kwa hoja,sio yule kilaza, Kwani Yusuf Dabo si Mwafrika kindakindaki kutoka Senegal?Mbona yeye ana UEFA A license na alikosa sifa ya kuwa Kocha Mkuu ndio maana tuzo alikuwa anachukua yule mzungu,Inakuwaje Dabo akose sifa halafu Hamdi awe na sifa wakati wana elimu sawa?Yule kilaza hawezi kujibu haya.Kumbuka reference yangu ni Kwa mujibu wa taarifa ya Yanga na Kanuni za ligi
 
Reactions: Tui
Nimekuelewa mkuu, hoja yangu kocha ana sifa. Sababu katokea Afrika.
Yusuf Dabo naye ametokea Afrika, Senegal na ana UEFA A license kama aliyonayo Hamdi,inakuwaje yeye alikosa sifa halafu Hamdi awe na sifa?
 
Attachments

  • Screenshot_20250205-175932.png
    450.9 KB · Views: 2
Mjadala huu umekuzidi kimo, akili yako ni ndogo kuweza kuelewa,wamekuja wenye akili ambao wanaweza kueleza ni kwa nini Yusuf Dabo mwenye UEFA A license kama ya huyo kocha wenu akose sifa za kuwa Kocha Mkuu halafu kocha wenu awe na sifa.Kuhusu kukaa bench mbona Dabo alikuwa anakaa lakini tuzo za kocha bora anapewa yule mzungu msaidizi wake mwenye sifa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250205-194254.png
    226.2 KB · Views: 2
Sio kwamba Dabo alikuwa na shida ya kuhuisha leseni yake mkuu. Basi inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…