Kocha mpya wa Yanga hana sifa za kuwa Kocha Mkuu wa Ligi Kuu ya Tanzania

Sio kwamba Dabo alikuwa na shida ya kuhuisha leseni yake mkuu. Basi inawezekana.
Hapana,Dabo alikosa sifa kwa sababu ya kukosa UEFA Pro au CAF license A,Kuanzia mwaka juzi TFF waliweka vigezo vikubwa kuliko Hata ligi kubwa Afrika,ndio maana sasa hivi Dabo ni kocha mkuu wa AS Vita huko Congo ambalo UEFA A inaruhusiwa.
 
Swali langu kwako ni Moja Tu Huyo Kocha uraia unasoma ni WA Algeria...ila MAELEZO yako yanalazimisha kwamba yeye ni WA ufaransa Huoni kwamba unachanganya madesa
 
Muda wote huu tunabishana kuhusu mpira halafu kumbe hamna kitu unachojua?

Yaani hata hili haulijui? Nimekudharau sana, yaani kumbe we ni bogus hivi.
 
Basi subilia kama atokaa benchi kuanzia mechi na Jkt Tanzania alafu utakuja utueleze amesoma lini kuipata iyo diploma A na UEFA pro,,taka taka kama nyie uwa sipendi kubishana na nyie tabia za waha tunazijua,,ninaitunza hii risiti
HAJASEMA HATAKAA KWENYE BENCHI, ATAKAA KWENYE BENCHI ILA HATATAMBULIKA NA TFF KAMA KOCHA MKUU, TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI ATACHUKUA MOALINI NA SIO YEYE.

HAAHAAHAAHAAH WE JAMAA KUMBE MWEUPE TU HAMNA KITU.
 
Sasa hapo Kuna effect Gani kwa kocha na timu anayoifundisha? Angekuwa akai kabisa anakaa jukwaani kungekuwa na logic but yupo pale na mambo yote ya kiufundi anashughulika nayo ata kama anamuelekeza amolini bado aiathiri chochote hizo tuzo aziithiri klabu chochote kiufundi na kimbinu!
 
Swali je hajawahi kujiendeleza

Acheni porojo yanga siyo timu ndogo
 
Swali je hajawahi kujiendeleza

Acheni porojo yanga siyo timu ndogo
Hilo linatakiwa kujibiwa na Yanga,kwa nini wameshindwa ku update elimu yake kwenye taarifa yao rasmi kama ni kweli alijiendeleza maana wametaja elimu yake kuwa ni leseni ya UEFA A
 
Attachments

  • Screenshot_20250206-101106.png
    1.2 MB · Views: 3
HAJASEMA HATAKAA KWENYE BENCHI, ATAKAA KWENYE BENCHI ILA HATATAMBULIKA NA TFF KAMA KOCHA MKUU, TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI ATACHUKUA MOALINI NA SIO YEYE.

HAAHAAHAAHAAH WE JAMAA KUMBE MWEUPE TU HAMNA KITU.
Nimekwambia huyu ni kilaza Pro,anakurupuka kujibu bila hata kusoma post inajadili nini,angalia sasa alivyoangukia pua.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…