Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

Sasa nyie mbumbumbu FC kama Yanga wamepata kocha asiye na viwango nyie si ndio mfurahie mbona kama mna panic? Mtahangaika sana safari hii GSM amewashika sehemu sahihi kabisa.
Nyie ndiyo matapeli wa GSM wamewashika makalioni mnaenda kuchomeshwa mahindi airport kusubiri hewa si uboya huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…