mbona unatukataza kushangaa na kuona hurumaPovu umeona wapi sisi tunawashangaa mmepigwa.
Wapi nimekukataza ?mbona unatukataza kushangaa na kuona huruma
Ila mkuu kwa records hizo hapo juu!! Mmmm cjui, mbona zinatia mashaka?Sasa nyie mbumbumbu FC kama Yanga wamepata kocha asiye na viwango nyie si ndio mfurahie mbona kama mna panic? Mtahangaika sana safari hii GSM amewashika sehemu sahihi kabisa.
Kwan hio gsm yko ilikuwa wap wakat MNYAMA anajikusanyia MAKOMBE?Sasa nyie mbumbumbu FC kama Yanga wamepata kocha asiye na viwango nyie si ndio mfurahie mbona kama mna panic? Mtahangaika sana safari hii GSM amewashika sehemu sahihi kabisa.
Bora Young Africans, sasa ndio angeenda Mikia FC angerudi siku hiyo hiyo, angedhani kasajiliwa timu ya wazee fc.Huyo kocha anakazi ya kuijenga timu kwanza.kocha awajui wachezaji na wachezaji awajuani. Yule kolinyo alipofika mazoezini anawashangaa tu wenzie anawaona kama vyura tu yani.anajuta kwa nini kaja Yanga.
Timu ya wazee ndo wanafanya maajabu kwenye soka,Kagere mfungaji bora.Bora Young Africans, sasa ndio angeenda Mikia FC angerudi siku hiyo hiyo, angedhani kasajiliwa timu ya wazee fc.
NaaamHakuna kocha hapo ni Tourist huyo. Timu zote alizopita kufundisha hakuna timu aliyomaliza nayo msimu bila kufukuzwa.
Daaah😂😂😂Hafikishi hata miezi 6
Hongera sana.. uliona mbali.Hakuna kocha hapo ni Tourist huyo. Timu zote alizopita kufundisha hakuna timu aliyomaliza nayo msimu bila kufukuzwa.
Nililijua mapema sana hili.Hakuna kocha hapo ni Tourist huyo. Timu zote alizopita kufundisha hakuna timu aliyomaliza nayo msimu bila kufukuzwa.
Amani kwako mkuu...Yametimia.Hakuna kocha hapo ni Tourist huyo. Timu zote alizopita kufundisha hakuna timu aliyomaliza nayo msimu bila kufukuzwa.
Naona bundi ameruka."Ukikosa kware mawindoni, rudi hata na bundi". Uto kama uto!!
Now sacked after 39 days at Yanga.View attachment 1550509
Uzuri wake ana kisingizio cha maana kwamba yeye hajafanya usajili. Wachezaji kawakuta tu