Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

Sasa nyie mbumbumbu FC kama Yanga wamepata kocha asiye na viwango nyie si ndio mfurahie mbona kama mna panic? Mtahangaika sana safari hii GSM amewashika sehemu sahihi kabisa.
Ila mkuu kwa records hizo hapo juu!! Mmmm cjui, mbona zinatia mashaka?
 
Yanga mnafeli wapi. Tunawaonea huruma kwa vipigo. Mimi kuanzia leo game za watani nitakuwa nabeti kwa kwenda kuchukua hela ya mkopo benki maana najua inarudi kesho yake tu.
 
Sasa nyie mbumbumbu FC kama Yanga wamepata kocha asiye na viwango nyie si ndio mfurahie mbona kama mna panic? Mtahangaika sana safari hii GSM amewashika sehemu sahihi kabisa.
Kwan hio gsm yko ilikuwa wap wakat MNYAMA anajikusanyia MAKOMBE?
 
Huyo kocha anakazi ya kuijenga timu kwanza.kocha awajui wachezaji na wachezaji awajuani. Yule kolinyo alipofika mazoezini anawashangaa tu wenzie anawaona kama vyura tu yani.anajuta kwa nini kaja Yanga.
Bora Young Africans, sasa ndio angeenda Mikia FC angerudi siku hiyo hiyo, angedhani kasajiliwa timu ya wazee fc.
 
Nakosa imani na huyu Kocha hana historia ya ushindi kama Mtangulizi wake Luc Eymael nae atafukuzwa tu
 
Bora Young Africans, sasa ndio angeenda Mikia FC angerudi siku hiyo hiyo, angedhani kasajiliwa timu ya wazee fc.
Timu ya wazee ndo wanafanya maajabu kwenye soka,Kagere mfungaji bora.
 
UTOPOLO FC msije mkaanza leta lawama zenu za kijinga, mkianza kufungwa hamkawii kusema'' mara TFF yote simba, CAF yote simba, serekal yote simba, FIFA yote simba hata dunia yote mtasema ni wana simba'' sisi hatutak mlete lawama zisizo na mashiko,
Mnaleta makocha wa hovyo, subirin Ligi ianze.
Uto kama uto.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom