Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

Dozi ya tano tano ipo kwenye shindano pekee
 
Kijana wa kawe..punguza ujinga!
 
Kijana wa kawe..punguza ujinga!
Nilichokiandika ulikielewa?

Nilisema Yanga ya mjerumani endapo ikikuwqhi kukufunga itakufunga mengi

Ila ukiiwahi unaifunga mengi


Halafu kwa taarifa yako shida sio kocha shida ni wachezaji
 
Wadau mnamuonaje side
Saed Ramovich anakuja vizuri tumpe muda Kuna kitu anacho,,taratibu tunaona anaanza kuielewa timu na wachezaji pia,,tunajua ni muumini wa Mpira wa Kasi na nguvu ndicho kitu tunachoanza kukiona kwenye timu,,angalia namna wanavyopush mashambulizi kwa kasi pindi wanapopora mipira nadhani Ile intensity ya yanga tuliyoizoea inaanza kurudi taratibu na kikosi chake kikikamilika kwa 100% na majeruhi wakirudi basi yanga itatisha,kumbuka Kuna majeruhi Max nzengeli,djigui diarra,clotus chama,musonda ni wachezaji wa kikosi cha kwanza unapowakosa Kuna kitu kinapungua lakini anakwenda na wachezaji waliopo na anapata matokeo!
 
Mkuu hapo bado hajamaliza kuisoma timu
 
Mtoe musonda hapo
 
Muda bado, umewahi kumpa sifa zake.. usimlinganishe na Gamont ambaye amechukua makombe Nbc, n.k
Mlinganishe Baada ya Misimu miwili au mitatu mkuu..
 
Side mechi yake ya tano NBC kajaza kapu la magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…