Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

Side aiua TP MAZEMBE
Side akifanikiwa kwenda quarter final ndio heshima yake itapatakina, otherwise hakuna kipya anachofanya cha kusema ni zaidi ya Gamondi.

Nafasi ya kwenda quarter finals inawezekana lakini sio rahisi.
 
Side akifanikiwa kwenda quarter final ndio heshima yake itapatakina, otherwise hakuna kipya anachofanya cha kusema ni zaidi ya Gamondi.

Nafasi ya kwenda quarter finals inawezekana lakini sio rahisi.
Binafsi mimi sitamlaumu kocha kwa timu kama ikishindwa kwenda robo fainali, bali wachezaji wamekuwa wanapoteza sana nafasi za magoli hasa Aziz Ki na Dube
 
Binafsi mimi sitamlaumu kocha kwa timu kama ikishindwa kwenda robo fainali, bali wachezaji wamekuwa wanapoteza sana nafasi za magoli hasa Aziz Ki na Dube
Yaani Aziz Ki ndo ovyo kabisa.
 
Gamondi amekaa yanga kwa muda gani? Mafanikio yake yalikuwaje? Kulikuwa na nidhamu kipindi hiko ama lah?
 
Unaujua mpira haya ulinena mapema sana..
Nachokiona kwa sasa ni yeye Ramovic kuboresha eneo lake la ulinzi hili litakua jambo muhimu sana na ataifanya Young kua tishio mno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…