Tariq Mimi
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 368
- 717
Ungekua wewe ungefurahia?hata ukiangalia uso wa kocha Juma mwambusi baada ya kitendo Cha Saidoo na kaseke hakua mwenye furaha....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekua wewe ungefurahia?hata ukiangalia uso wa kocha Juma mwambusi baada ya kitendo Cha Saidoo na kaseke hakua mwenye furaha....
Sappong ni mchezaji mzuri kuliko hao akina Nchimbi na Yacouba ana brain ya mpira hata kama hafungi.Tk,yacouba na Kaseke hawakutakiwa kuanza kipindi cha pili
Yacouba kakosa goli za wazi 3
Kaseke goli la wazi la kichwa 1...
Ni kweli Mikia wameshamalizana na Said...mmesahau vituko vya Morrison kabla hajaenda Simba?
Tk,yacouba na Kaseke hawakutakiwa kuanza kipindi cha pili
Yacouba kakosa goli za wazi 3
Kaseke goli la wazi la kichwa 1....
Asije akawa kaona kwa vile anaondoka ameamua kuigawa timu,huyu juma aondoke tu hakuna namna atatuvuruda
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli Mikia wameshamalizana na Said...mmesahau vituko vya Morrison kabla hajaenda Simba?
Anaforce kupata ufalme na hali MTU wa kawaida tu. Ila kaonyesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu kwa kocha wake.Wataalam wa mambo njooni mtujuze....
Maswali mengine yanastaajabishaMchezaji akuambie huna akili..Hapo furaha itatoka wapi kwa Mwambusi
Huyu faza sometimes nilikua nakubali Sana filosofa zake ....Daaah Kuna shida mahali.
Sir Alex Ferguson aliwahi kutuambia hakuna mchezaji mkubwa kuliko Timu.
Naamini uongozi utamuonya kama sio kumchukulia hatua.
Nakubaliana na wewe mkuu. Ile assist alompa Saido dakika ya 90 ilikua ni ya uhakika sana.Sappong ni mchezaji mzuri kuliko hao akina Nchimbi na Yacouba ana brain ya mpira hata kama hafungi.
Kwani huyu alipokewaje eapoti?Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga SC Juma Mwambusi, amesema kwamba kitendo alichokifanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwasababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita.
"Ntibazonkiza alikuwa anafurahia kupata goli kwasababu mechi mbili zimempita alitoka bila kufunga goli". Amesema Mwambusi.
Fowadi eti una brain ya mpira afu hufungi sasa timu itapataje alama tatu stupiidSappong ni mchezaji mzuri kuliko hao akina Nchimbi na Yacouba ana brain ya mpira hata kama hafungi.
Calinyo sema lioga sana lile dogo ila kwa passing accuracy nampa 100Leo nilivutiwa na uchezajibwa Carlinhos katika nafasi yake ya Deeplying Playmaker, hakika ameitendea haki japo aliishiwa na pumzi dakika 15 za mchezo