Kocha Mwambusi: Kitendo alichokifanya Ntibazonkiza ni furaha ya kufunga goli

Kocha Mwambusi: Kitendo alichokifanya Ntibazonkiza ni furaha ya kufunga goli

Duh! Nasikia Simba wanampango nae!
 
Saido ni mchezaji mzuri sana ila asianze kutupanda kichwani! Kama kuna shida mahali angefuata taratibu ili asikilizwe! Kwa daraja lake hakupaswa kufanya vile!
 
Nahisi kuna mgawanyiko/Makundi miongini mwa wachezaji/benchi la ufundi.

Hata saikolojia yake ya usoni haikuwa nzuri achilia mbali Deus Kaseke.
Na si hao wawili tu kumbukeni hata Mwambusi nae amekatiza mahojiano kwa hasira na mwanahabari wa Azam aliyekua akiulizia tathmini ya mchezo na hali ya klabu inavyokwenda kua baada ya mapokezi ya kocha mpya.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hata TK Master alichokuwa akicheza leo kimenifikirisha sana.
 
Ndio yule Dr. Wa Kigogo? Hilo Jina vipi tena Mpango mzima.
 
Hata TK Master alichokuwa akicheza leo kimenifikirisha sana
Tk,yacouba na Kaseke hawakutakiwa kuanza kipindi cha pili
Yacouba kakosa goli za wazi 3
Kaseke goli la wazi la kichwa 1
Nchimbi goli 1 clear la kumalizia tu.

Wengine wamecheza vizuri including
Calinhous,Dikson Job,Ninja.....pamoja na kufunga Nchimbi amekosa utulivu mara nyingi tungeshinda nyingi leo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nahisi kuna mgawanyiko/Makundi miongini mwa wachezaji/benchi la ufundi

Hata saikolojia yake ya usoni haikuwa nzuri achilia mbali Deus Kaseke
Hata ukiangalia uso wa kocha Juma Mwambusi baada ya kitendo cha Saidoo na kaseke hakua mwenye furaha.
 
Back
Top Bottom