OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga imevunja mkataba na kocha wake Mwinyi Zahera pamoja na benchi zima la ufundi sambamba na kuvunja kamati ya mashindano.
Zahera ametimuliwa na klabu hiyo wakati mwenyewe ameendelea na kazi yake kama kawaida.
Zahera leo asubuhi amefika mazoezini kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini na kuendelea na majukumu yake wakati timu yake ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda ya Mtwara.
****
Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amemtangaza Charles Boniface Mkwassa kuwa kocha wa muda wa Yanga akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera kwa muda wa wiki mbili