Kocha Mwinyi Zahera aachia ngazi Yanga. Mkwasa kuinoa kwa muda

Kocha Mwinyi Zahera aachia ngazi Yanga. Mkwasa kuinoa kwa muda

Kweli fadhila mfadhili mbuzi huyo Zahera alibembeleza wachezaji akawapa na posho wasigome mmemtimua laana yake itawatafuna sana
Hizo hadithi za kuwapa posho ni za kubumba na ingekua hivyo Morinho,Di Matheo wasingefukuzwa Chelsea kwa heshima walizoleta
 
Kama nawaona mlivyoshangilia.

Hamna kitu kama hicho bana Mtani. Yanga ni timu kubwa bwana haipaswi kuwa na matokeo tia maji tia maji kiasi kile.
Mbona mlikuwa on the right track and direction.

Kiukweli zahera kaonewa timu bado mpya ile. Ilibidi apewe mda.

Tatizo Tanzania tunapenda shortcut sana
 
Hahahaaa mshambuliaji wa zamani wa simba usiku wa Jana kafunga goli uwanja wa an field, kawafunga mabingwa wa ulaya na vinara wa ligi kuu ya uingireza.

Jana alimchambua beki bora wa dunia kwa sasa Virgil kama sambusa
Samata huyo. Wameshinda ngapi?

Ningekuwa home hiyo mechi ningeicheki baadae kwani huwa wanairudia mchana mchana ila ndio naenda kupambana na hali yangu saa hii.

Duuh! Samata ni balaa Virgil hatomsahau. 🤣
 
Mbona mlikuwa on the right track and direction.

Kiukweli zahera kaonewa timu bado mpya ile. Ilibidi apewe mda.

Tatizo Tanzania tunapenda shortcut sana
Mtani sio kweli bana. Unaeza niambia mechi moja tu ambayo tumecheza poa toka Ligi Kuu ianze msimu huu?
 
Kawaida sana hiyo, make lazima amfuatilie Mme wake.
Tena alivyouleta jana asubuhi ulikuwa tetesi yaani hata kabla haijathibitishwa tayari mikia habari wanazo.

Baadae mods ndio wakaedit huo uzi. Ila ndio tujue wanatufuatilia sana aisee.
 
Samata huyo. Wameshinda ngapi?

Ningekuwa home hiyo mechi ningeicheki baadae kwani huwa wanairudia mchana mchana ila ndio naenda kupambana na hali yangu saa hii.

Duuh! Samata ni balaa Virgil hatomsahau. 🤣
Genk ilifungwa 2_1
Mpaka half time walienda 1_1.

Sisi hatujali Genk kufungwa
Tunachojali ni goli la samagoal.

Mtani nchi anayotokea ndio inamuangusha! Lakini samagoal anakipiga vizuri kabisa EPL
 
Genk ilifungwa 2_1
Mpaka half time walienda 1_1.

Sisi hatujali Genk kufungwa
Tunachojali ni goli la samagoal.

Mtani nchi anayotokea ndio inamuangusha! Lakini samagoal anakipiga vizuri kabisa EPL
Hahahaa. Haya bana Mtani.

Azidi kukaza buti kwani vile vilabu vikubwa kabisa vya EPL Man City, Man U, Liverpool na nyinginezo kubwa bado hajafikia kucheza huko. Labda vile vinavyoshika mikia ndio anaeza. 😎😎😎🏃‍♂️
 
Hizo hadithi za kuwapa posho ni za kubumba na ingekua hivyo Morinho,Di Matheo wasingefukuzwa Chelsea kwa heshima walizoleta
Papaaa alikuwa mtu wa mikakati kauza makambo kapiga pesa,alimuandaa moringa amuuze mmemfukuza,mshahara haukuwa issue kivile alisoma gap sana
 
Hahahaa. Haya bana Mtani.

Azidi kukaza buti kwani vile vilabu vikubwa kabisa vya EPL Man City, Man U, Liverpool na nyinginezo kubwa bado hajafikia kucheza huko. Labda vile vinavyoshika mikia ndio anaeza. 😎😎😎🏃‍♂️
Sasa kama pale kwa mwanitesa utd

Nani wa kumuweka nje samagoal.

Middle clubs kama Watford bornmouth norwhich anakipiga vizuri
 
Hamna cha kupenda Shortcut bana Mtani.

Tumefuata matakwa yake kusajili Kikosi ambacho kwake alikiona bora hivyo tulihitaji matokeo mazuri pia Mtani.
Mimi ostazi uchebe sitaki simba wamfukuze.

Mtu kama yule kaishajua falsafa ya simba, kajua simba inataka nini.

Et avuruge mechi mbili tatu waseme uchebe out.
 
Mimi ostazi uchebe sitaki simba wamfukuze.

Mtu kama yule kaishajua falsafa ya simba, kajua simba inataka nini.

Et avuruge mechi mbili tatu waseme uchebe out.
Hahahaaa. Hivyo atakaa siku zote ee?

Hata na huyo akiharibu mtamfukuza. Kumbuka vuguvugu zilizoendelea baada ya kutolewa raundi ya kwanza Champions League bado kidogo mumfungashie virago.
 
Back
Top Bottom