Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana alikuwa sahihi ila hapo ndio aliua morali ya timu rasmi.Aliposema hamna mchezaji wa Yanga anayeweza kupata namba Pyramid wakati bado wana mechi ya marudiano,nikagundua hamna Kocha bali msimamizi wa mazoezi
Hakuwa sahihi hata kidogo ....alitakiwa kujenga morali ya ushindi ktk timu...hata kama anajua ni ngumu kushinda ile mechi.....ujuaji ulimzidi...alitaka kunawa mikono wakati michezaji mibovu aliileta yeye jangwani....Inawezekana alikuwa sahihi ila hapo ndio aliua morali ya timu rasmi.
Kwahiyo Molinga anaweza anza first eleven ya Pyramids? Sifikiri kama tumeelewana mkuu.Hakuwa sahihi hata kidogo ....alitakiwa kujenga morali ya ushindi ktk timu...hata kama anajua ni ngumu kushinda ile mechi.....ujuaji ulimzidi...alitaka kunawa mikono wakati michezaji mibovu aliileta yeye jangwani....
Ataambia nini watuBameachishwa bukazi Mtani. 😀😀
Nazani tunapishana ktk kuelewa....Yanga ni timu kubwa....ukisajili mchezaji ili aje acheze Yanga,,, huyo mchezaji anapaswa kutambua thamani ya kucheza Yanga... Vinginevyo Zahera alikuwa anadhani Yanga ni sawa na Ndanda...imekula kwake na wachezaji wake mizigo watafuata....Kwahiyo Molinga anaweza anza first eleven ya Pyramids? Sifikiri kama tumeelewana mkuu.
Tena alivyouleta jana asubuhi ulikuwa tetesi yaani hata kabla haijathibitishwa tayari mikia habari wanazo.Maajabu kocha wa Yanga kafukuzwa uzi unaletwa na mikia...
Ukisema tukumbuke fadhila mwishowe tutashuka daraja Mkuu. Ikiwa viongozi wameona alipofika panatosha hamna jinsi tena zaidi ya kuganga yajayo.Bibiye tukumbuke fadhila,mapungufu yake anapenda kubwabwaja Sana,je kweli viongozi wetu wamefsnya maamuzi SaHihI kwa kuvunja mikataba na Zahera?
Lazima mfuatiliwe hatua kwa katuaTena alivyouleta jana asubuhi ulikuwa tetesi yaani hata kabla haijathibitishwa tayari mikia habari wanazo.
Baadae mods ndio wakaedit huo uzi. Ila ndio tujue wanatufuatilia sana aisee.
Wacha kumtetea Mkuu sababu kikosi cha mwaka huu ambacho alichagua yeye wachezaji anaowataka ndio kimekuwa kibovu zaidi kuliko kile cha msimu uliopita.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Zahera msimu uliopita alitubeba sana timu ikiwa kwenye Hali mbaya Sana kiuchumi,Leo tumekuwa wepesi wa kusahau Yale mazuria aliyetufanyia,AmA kWeRi ShUkRaNi yA PunDa ni MaTeKe.
Mtani sijakuelewa hapa. Hebu tumia lugha nyepesi.Mchezaji wa zamani wa simba afunga goli an field! Mahala palipomshinda mess
Kama nawaona mlivyoshangilia.Lazima mfuatiliwe hatua kwa katua
Kweli nimeamini shukran ya mapunda ni mateke.
Maskinni akipata siku zote inakuwa tabu sana.
Atajuwa tu Mtani nini ataambia watu. 🤣Ataambia nini watu
Exactly!Hata kama alikua sahihi,haukua muda muafaka kusema hayo na hakua mtu sahihi kuyasema l!Anadhan wachezaji hata siku nyingine akiwasifia si wataona hamaanishiInawezekana alikuwa sahihi ila hapo ndio aliua morali ya timu rasmi.
Hahahaaa mshambuliaji wa zamani wa simba usiku wa Jana kafunga goli uwanja wa an field, kawafunga mabingwa wa ulaya na vinara wa ligi kuu ya uingireza.Mtani sijakuelewa hapa. Hebu tumia lugha nyepesi.