Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga siku nyingine muwe mnaiga ukomavu wa Simba. Maana Simba ilifungwa 5:0 na waarabu wala haikufukuza kocha. Pia mwaka huu tuliaminishwa kuwa Simba itatinga tena Group stage ya CAF na ikaishia round ya awali na wala haikufukuza Kocha. Pia Simba imefungwa na Mwadui wala hakuna anaemtukana Kocha. Yanga kuna kitu mnapaswa kujifunza.
Ni suala la muda tu uyo mcheza mieleka atarudi kwaoYanga siku nyingine muwe mnaiga ukomavu wa Simba. Maana Simba ilifungwa 5:0 na waarabu wala haikufukuza kocha. Pia mwaka huu tuliaminishwa kuwa Simba itatinga tena Group stage ya CAF na ikaishia round ya awali na wala haikufukuza Kocha. Pia Simba imefungwa na Mwadui wala hakuna anaemtukana Kocha. Yanga kuna kitu mnapaswa kujifunza.
Kwa hiyo aachwe tu hata kama ameshindwa kisa aliifadhili timu wakati wa shida, hiyo itakuwa ni "Blackmail".Kweli fadhila mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi wanadamu anamaudhi ,jamani huyu Zahera kawapa posho wachezaji ,amekaa nao kwa wakati mgumu ,wakati huu wamemtimua
Mumemchoka muwekezaji wenu hahahamchukueni Simba, nyie si mna pesa, huku Yanga hatumtaki tumemchoka
Una maana gani kusema mabingwa wa kihistoria wasio na kombe lolote? Tuanzie hapa kwanza.
Dah, nilimsikia na Juma Pondamali naye akiwadai eti "Fedha nyingi sana".
Wewe pia najua unazo nyingi kama laki kwako si pesa basi unaweza kumlipa kabisamchukueni Simba, nyie si mna pesa, huku Yanga hatumtaki tumemchoka
Na Jaja Bado anawadai hawa jamaa...ndo maana wanamikosi hawa hohofc, kifusi walicho mwaga pale uwanjani kwao kimeenda baharini choteeeeee!!!!!!Hata ABEID MZIBA "Tekelo" anawadai
Kombe kile chakula kinacholiwa na Bwana Harusi na watu wake harusini
Kwasababu ni mabingwa wa kuomba omba...Rage alikuwa sahihi kuwaita nyinyi ni mbumbumbu! Yaani hamuelewi hata kidogo ni kwa nini timu ya Wananchi inatambulika pia kama Mabingwa wa Kihistoria!