Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalye erimpaHahaha hahahahahahahahaha iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! Hahahahaha aiseeee hahaha uwiiiiiiii hahahahahahahahaha gongowazi mnatuvunja mbavu. Sasa mnamfukuza mdhamin wenu tena, iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahahahahahahahaha hahahahahahahahaha jaman......molinga mtaweza kumlisha kwer kilo 32.6 per day huo ni ubweche achana na nyama kilo 54.1....Zahera ndo alikuwa na uwezo wa kumtunza jamaa...TANO-MOYA!!!!!!!!!!!!!!
ILA NYIE PYRAMID MUNGU ANAWAONA...MNAFANYA HADI MDHAMINI/MUWEKEZAJI WA HOHO FC ATIMULIWE KWERI!!!!!!! hahahahaha hahahahahahahahaha
Acha upopoma weeeeYanga imevunja mkataba na kocha wake Mwinyi Zahera pamoja na benchi zima la ufundi sambamba na kuvunja kamati ya mashindano.
Zahera ametimuliwa na klabu hiyo wakati mwenyewe ameendelea na kazi yake kama kawaida.
Zahera leo asubuhi amefika mazoezini kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini na kuendelea na majukumu yake wakati timu yake ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda ya Mtwara.
****
Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amemtangaza Charles Boniface Mkwassa kuwa kocha wa muda wa Yanga akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera kwa muda wa wiki mbili
Simba inamilikiwa na Mo Dewji ,hakuna mwanachama hata mmoja mwenye hisaSio kweli na viongozi wengi wa yanga wameanza kuamini kuwa mfumo wa yanga kiuendeshaji ndio tatizo, na mpaka sasa wanaona ni bora waingie katika mfumi wa hisa kama simba.
Sijui siku wakiingia katika mfumo wa hisa ndugu yangu Shadeeya utajisikiaje maana sio kwa maneno yale kutoka kwa wananchi kwamba yanga ni ya wananchi haiwezi kumilikiwa na kikundi cha watu.
mwinyi zahera sio wa kubeza hata kidogo, Amekua akipambana na kipingi kigum cha mapito jangwani.
Amefanya kazi kwa mazingira magum kiuchumi, ebu fikiria ukiwa kama mwalm halafu unafundisha wachezaji wenye takribani miezi 4 bila stahiki zao.
Amefanya kazi kubwa ndani ya yangu,amekua chachu ya mafanikio clabuni,nenda papa kapambane na changamoto sehem zingine.
Bundi katua mto jangwani..zahera bado yupo kajaa tele...
Tatizo la yanga ni ziadi ya kocha mwinyi zahera!! Ondoeni kwanza msuguano uliomo ndani ya timu kati ya team ndama, na team gsm!! Kwani ktk mechi za ligi mkoje, kufungwa na pyramid ndio chanzo? Bila kujua tatizo ni vigumu kuli solve, zahera tatizo lake amekuwa mkweli hadi anauzi!!!! Ni suala la muda tuBwege sana huyo atuachie timu yetu , imekuwa inaboronga kila siku zinavyozidi kwenda , usajili mkubwa lakini poor performance uwanjani
Ushamgeuka tayari, haaa haaa haaaaZahera kuropoka ropoka kulizidi, alikuwa anajiona mkubwa kupita klabu, bora aondoke zake
Amepewa Charles Boniface Mkwasa "Master"Kapewa Ben Mwalala.
simba waliwahi kuwa na koha mchezaji aliitwa Hassan Hafif ila yanga wameWwafunika na Kocha mfadhili siyo?Hivi huyu zahera hawadai yanga kweli??
Maana kuna kipindi nilisikia wanamsifia kuwa anatoa hadi pesa zake kuisapoti yanga.
Bameachishwa bukazi Mtani. 😀😀Bamutu bakongo
Wewe ndio umesema ukweli.Yanga hata aje nan hakuna timu pale...
Acha utabiri wa Sheikh YahyaYanga hata aje nan hakuna timu pale...
Pedee umupulusi veve Gutigunyoo!!!!!!Kalye erimpa