McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Mimi siyo shabiki wa Yanga.
Yanga walichofanya kitaighirimu timu zaidi kwa kipindi hiki, yaani unatimua benchi la ufundi na muda huo huo wachezaji wakiwa wamebaki wale wale[emoji848]
Kwa sasa kikosi chao hata aje Gariola kitamchanganya kupanga vile vile, hii ni sababu wachezaji waliopo kwenye timu wote ni wa aina moja.
Kilichotakiwa ni kuvumilia mpaka dirisha dogo wapate strikers hata wawili, vinginevyo kamati tendaji ijiandaae lawama kwa matokeo yajayo.
Poleni