OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga kwani imeanza Jana? Kuna makocha bora zaidi ya Mwingi walipita JangwaniSasa ndiyo wanaenda kupotea
Habari za hivi punde zinasema Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameachia ngazi Yanga baada ya timu kupoteza uelekeo.
Ongeza bidii Mtani tutakupa ajira.
Atuachie yanga yetu kwa kweli.Ongeza bidii Mtani tutakupa ajira.
Wenye timu ni nani?Hamna timu asee.
Daaaaaaa noma kweli.Habari za hivi punde zinasema Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameachia ngazi Yanga baada ya timu kupoteza uelekeo.
Usisahau ni tetesi hizi Mtani.Atuachie yanga yetu kwa kweli.
Tusubirie mpaka ije kuwa hivyo Mkuu.Sio kweli na viongozi wengi wa yanga wameanza kuamini kuwa mfumo wa yanga kiuendeshaji ndio tatizo, na mpaka sasa wanaona ni bora waingie katika mfumi wa hisa kama simba.
Sijui siku wakiingia katika mfumo wa hisa ndugu yangu Shadeeya utajisikiaje maana sio kwa maneno yale kutoka kwa wananchi kwamba yanga ni ya wananchi haiwezi kumilikiwa na kikundi cha watu.
AiseeeOngeza bidii Mtani tutakupa ajira.
Haitakaa itokee Mtani.Aiseee
Bado wewe kuachia ngazi.
Bundi katua mto jangwani..zahera bado yupo kajaa tele...Nimecoment hapo juu kutokana na heading !! Nilivyosoma content nimeona wewe ni shabiki wa mikia Fc maana kama uelekeo upi ambao Yanga Africans tumepoteza kwa msimu huuu !! Ila Zahera OUT