Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Waliomwita ndo wanafiki hawataki kukosolewaZahera hajawai kuwa mnafiki, anazungumza ukweli mtupu, ila sisi watanzania baadhi yetu tumezoea uongo, kujikomba, na majungu. TFF kama watu wanao waambia ukweli wakiendelea kuwachukia mtaendelea kuharibu Mpira wa Tanzania. Kwa uwezo wa Kocha kama Zahera kufundisha mpira Tanzania ni kujiharibia, apa kwetu mpira unaongozwa na watu wengi wa hovyohovyo mwishoe na Zahera utakua kama sisi.