Kocha Mwinyi Zahera aitwa Kamati ya Maadili kwa kukosa nidhamu

Kocha Mwinyi Zahera aitwa Kamati ya Maadili kwa kukosa nidhamu

Zahera hajawai kuwa mnafiki, anazungumza ukweli mtupu, ila sisi watanzania baadhi yetu tumezoea uongo, kujikomba, na majungu. TFF kama watu wanao waambia ukweli wakiendelea kuwachukia mtaendelea kuharibu Mpira wa Tanzania. Kwa uwezo wa Kocha kama Zahera kufundisha mpira Tanzania ni kujiharibia, apa kwetu mpira unaongozwa na watu wengi wa hovyohovyo mwishoe na Zahera utakua kama sisi.
Waliomwita ndo wanafiki hawataki kukosolewa
 
Dah...kumtaja Beno Kakolanya umekosea mno...Beno Kakolanya ni msaliti...ameisaliti timu...Watu wa Simba baada ya kuona Yanga inafanya vizuri wakamtumia meneja/wakala wa Kakolanya ambaye ni kiongozi (huyo meneja/wakala) wa Simba ili amshawishi aondoke Yanga na kwa kufanya hivyo kuidhoofisha Yanga...Kakolanya anaondoka kambini usiku wa manane bila taarifa kwa meneja wa Yanga wala kocha...huyo Kakolanya ni msaliti...hatakiwi Yanga...aende huko Simba akadake...hivi unafikiri askari akiondoka kambini wakati wa vita atafanywa nini...tafakari mwenyewe....Ni kweli Yanga ilidhoofika baada ya kutoka huyo Kakolanya, lakini heri kufungwa kuliko kuwa na msaliti ndani ya timu.
Acha wao wamsajili kama wanampenda sana maana saiz yupo huru
 
Nilichosea ni nini? Huyu kocha wenu mnasema ni msemakweli, je Kakolanya hakuwa anasema kweli?

Usaliti ni koti la kuwavika wapigania haki zao. Kama kweli Zahera ni msema kweli asingeweza kuadhibu mtu anayedai chake.
 
Mpira wa kibongo wa kiduanzi saaana. Tutabaki tunachezea matope hapa hapa. TFF wanafanya kazi kwa mihemko ya mtu? Ni wazi wamewaita kocha wa Yanga na wa mbeya kwa ksbb shinikizo la mropokaji manara. Wanafanya kazi za watu wengine,sio kazi wanazotakiwa kufanya,hawafanyii kazi kile wanachokiona wao. Manara akiropoka wanatetemeka. Je kila timu ikipata ikipata mropokaji kama manara TFF si watawehuka kabisa hawa? Watanzania msitarajie mpira wa kibongo kubadirika kwa style za akina haji manara kuropoka na TFF kuwaita wale manara alitaka waitwe. Tutasubiri saaaana
 
Kwani hujui aliyepindisha ubingwavwa Yanga?
Ko Zahera ni msema ukweli au unatetea tu upumbuvu?
Huyu Zahera si ndo alisema Yanga itachukua ubingwa lakini juzi hapa anakana kauli zake,sasa ukweli wake hapo ni nini?
Huyu Zahera alifukuza Nadir kwa tuhuma ambazo si za kweli, lakini unasema ni msema ukweli?
Sasa ka ni msema kweli ndo mana ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ili ajieleze ukweli wake kwa kuthibitisha tuhuma anazozitoa.
Mwacheni aende awasaidie kutoa ushahidi wa tuhuma anazozitoa
 
Back
Top Bottom