Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Waliomwita ndo wanafiki hawataki kukosolewaZahera hajawai kuwa mnafiki, anazungumza ukweli mtupu, ila sisi watanzania baadhi yetu tumezoea uongo, kujikomba, na majungu. TFF kama watu wanao waambia ukweli wakiendelea kuwachukia mtaendelea kuharibu Mpira wa Tanzania. Kwa uwezo wa Kocha kama Zahera kufundisha mpira Tanzania ni kujiharibia, apa kwetu mpira unaongozwa na watu wengi wa hovyohovyo mwishoe na Zahera utakua kama sisi.
Acha wao wamsajili kama wanampenda sana maana saiz yupo huruDah...kumtaja Beno Kakolanya umekosea mno...Beno Kakolanya ni msaliti...ameisaliti timu...Watu wa Simba baada ya kuona Yanga inafanya vizuri wakamtumia meneja/wakala wa Kakolanya ambaye ni kiongozi (huyo meneja/wakala) wa Simba ili amshawishi aondoke Yanga na kwa kufanya hivyo kuidhoofisha Yanga...Kakolanya anaondoka kambini usiku wa manane bila taarifa kwa meneja wa Yanga wala kocha...huyo Kakolanya ni msaliti...hatakiwi Yanga...aende huko Simba akadake...hivi unafikiri askari akiondoka kambini wakati wa vita atafanywa nini...tafakari mwenyewe....Ni kweli Yanga ilidhoofika baada ya kutoka huyo Kakolanya, lakini heri kufungwa kuliko kuwa na msaliti ndani ya timu.
Dah...kumtaja Beno Kakolanya umekosea mno...Beno Kakolanya ni msaliti...ameisaliti timu...Watu wa Simba baada ya kuona Yanga inafanya vizuri wakamtumia meneja/wakala wa Kakolanya ambaye ni kiongozi (huyo meneja/wakala) wa Simba ili amshawishi aondoke Yanga na kwa kufanya hivyo kuidhoofisha Yanga...Kakolanya anaondoka kambini usiku wa manane bila taarifa kwa meneja wa Yanga wala kocha...huyo Kakolanya ni msaliti...hatakiwi Yanga...aende huko Simba akadake...hivi unafikiri askari akiondoka kambini wakati wa vita atafanywa nini...tafakari mwenyewe....Ni kweli Yanga ilidhoofika baada ya kutoka huyo Kakolanya, lakini heri kufungwa kuliko kuwa na msaliti ndani ya timu.
Sijawahi kumwona shabiki wa yanga mwenye akili sawa sawa.Wameacha kumwita zeruzeru, wanamwita Zahera. They must be joking.
Zeruzeru ni Kiswahili sanifu kwa taarifa yako. Itakuwa una upunguzu wa msamiati.Sijawahi kumwona shabiki wa yanga mwenye akili sawa sawa.
Zeruzeru ndiyo mchohezi,TFF hapa wanafanyia malalamiko ya zeruzeru,makocha wengine alioitwa kwenye kamati ni gereshabwege tu lengo lao ni Zahera.Wameacha kumwita zeruzeru, wanamwita Zahera. They must be joking.
Ko Zahera ni msema ukweli au unatetea tu upumbuvu?
Huyu Zahera si ndo alisema Yanga itachukua ubingwa lakini juzi hapa anakana kauli zake,sasa ukweli wake hapo ni nini?
Huyu Zahera alifukuza Nadir kwa tuhuma ambazo si za kweli, lakini unasema ni msema ukweli?
Sasa ka ni msema kweli ndo mana ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ili ajieleze ukweli wake kwa kuthibitisha tuhuma anazozitoa.
Mwacheni aende awasaidie kutoa ushahidi wa tuhuma anazozitoa