Duh! Funguka ili wenye dini zao wadili na weweKuna dini ukiwa muumini wake unakuwa na akili kama zako
Hata msimu uliopita mliisema kama hivi. Ikaonekana mikia na Azam ndio wamesajiri vizuri. Kumbe mmesajiri mabumundaYanga ya msimu huu.. mmmh! [emoji848][emoji848][emoji848]
Kama kitu cha kawaida karudieni tena kufanya kile mlicho kifanya kwenye kombe la shirikisho halafu muone CAF watawafanya nini, mara kwanza mmeonewa huruma kwa kupigwa faini dola 10k,sasa karudieni tena kama ni kizuri,manake kwa ktk soka la Afrika nyie ndio wakwanza kufanya upuuzi huo.Kuwa na deni halafu upate faida si sawa na kuwa na deni na kulitumia katika mahesabu ya faida uliyopata kama vile ni pato lako. Kama unataka somo kwenye hilo suala niambie nikupe link kuna uzi nilielezea hiyo mada vizuri tu. Ila kama unaendelea kubisha hayaa...
Kwenye suala la moto, kumbe ishu ni umewashwa wapi? Kwa hiyo ikitokea Simba ikawasha moto nje kabisa ya uwanja, moshi ukasogezwa na upepo ukatanda uwanja mzima, hilo litakuwa sawa kwako?
HongeraKocha ni Robertinho tu
Hongera kwakeDeal done,
Kocha wa zamani wa Mabingwa wa makombe yote nchini Yanga Africa professor NABI ajiunga rasmi na Rabat Mabingwa wa ligi kuu Morocco.
Kila la heri mwamba Nabi huna baya.
View attachment 2691420
Watachezea tu kipigoRizki ya mtu haiwezi kuzuiwa na mwanadamu milele. Kuna watu walimpigia fitna kwa Kaizer, mchongo wake ukaungua sasa karudi kwa waarabu wenzake halafu mara paah Rabat wanapangwa na puyanga
Unastahili upewe uanachama wa kudumu. Nyie ndiyo mlikuwa mnaitwa mna damu ya njano maana huu ni ukereketwa siyo tena ushabiki. Hayaaa!Kama kitu cha kawaida karudieni tena kufanya kile mlicho kifanya kwenye kombe la shirikisho halafu muone CAF watawafanya nini, mara kwanza mmeonewa huruma kwa kupigwa faini dola 10k,sasa karudieni tena kama ni kizuri,manake kwa ktk soka la Afrika nyie ndio wakwanza kufanya upuuzi huo.
Nikupe link ya nini Barcelona wale wana madeni kibao, ila still bado wana hesabu faida na ndio maana wana uwezo wa kusajili japo sio wachezaji wenye majina makubwa,Spurs na Westham wana madeni makubwa waliyo kopa kujenga viwanja ila still bado wana hesabu faida.
Nyie ndio wae lialia/galagala.Unastahili upewe uanachama wa kudumu. Nyie ndiyo mlikuwa mnaitwa mna damu ya njano maana huu ni ukereketwa siyo tena ushabiki. Hayaaa!
Natumai habari za Sakho zimeshakufikia. Nakukumbusha tu, si kwa ubaya lakiniSakho huyu huyu, haya kauzwa kwa shilling ngapi Sakho...........?
Muda siyo mrefu atatupiwa virago kama alivyotupiwa na Al merreik ya SudanNgoja tuone nahuko atafanya nn mwmba,
Sako kauzwa ufaransa kwa 3.1bn. Una swali jingine?Haya kabishane na radio 👇👇
View attachment 2691976
Sakho huyu huyu, haya kauzwa kwa shilling ngapi Sakho...........?
Zimenufikia je kauzwa kwa shilling ngapi, maana Mayele dau lake mlishupaza shingo.Natumai habari za Sakho zimeshakufikia. Nakukumbusha tu, si kwa ubaya lakini
Kwani Mayele kauzwa? Mbona Thank You yake hatujaiona mpaka leo? Au hiyo Thank You imeshatolewa huko Congo hafu hamtuambii maana watu wasiri sanaZimenufikia je kauzwa kwa shilling ngapi, maana Mayele dau lake mlishupaza shingo.
Usisahau kuwa Yanga ilicheza CAF champion League (Ligi ya mabingwa) mpaka fainali na mwezi wa 10 inacheza African Super Cup.Deal done,
Kocha wa zamani wa Mabingwa wa makombe yote nchini Yanga Africa professor NABI ajiunga rasmi na Rabat Mabingwa wa ligi kuu Morocco.
Kila la heri mwamba Nabi huna baya.
View attachment 2691420