Kocha Nabi ajiunga na Club ya Far Rabat ya Morroco

Kocha Nabi ajiunga na Club ya Far Rabat ya Morroco

Kuwa na deni halafu upate faida si sawa na kuwa na deni na kulitumia katika mahesabu ya faida uliyopata kama vile ni pato lako. Kama unataka somo kwenye hilo suala niambie nikupe link kuna uzi nilielezea hiyo mada vizuri tu. Ila kama unaendelea kubisha hayaa...

Kwenye suala la moto, kumbe ishu ni umewashwa wapi? Kwa hiyo ikitokea Simba ikawasha moto nje kabisa ya uwanja, moshi ukasogezwa na upepo ukatanda uwanja mzima, hilo litakuwa sawa kwako?
Kama kitu cha kawaida karudieni tena kufanya kile mlicho kifanya kwenye kombe la shirikisho halafu muone CAF watawafanya nini, mara kwanza mmeonewa huruma kwa kupigwa faini dola 10k,sasa karudieni tena kama ni kizuri,manake kwa ktk soka la Afrika nyie ndio wakwanza kufanya upuuzi huo.

Nikupe link ya nini Barcelona wale wana madeni kibao, ila still bado wana hesabu faida na ndio maana wana uwezo wa kusajili japo sio wachezaji wenye majina makubwa,Spurs na Westham wana madeni makubwa waliyo kopa kujenga viwanja ila still bado wana hesabu faida.
 
Rizki ya mtu haiwezi kuzuiwa na mwanadamu milele. Kuna watu walimpigia fitna kwa Kaizer, mchongo wake ukaungua sasa karudi kwa waarabu wenzake halafu mara paah Rabat wanapangwa na puyanga
Watachezea tu kipigo
 
Kama kitu cha kawaida karudieni tena kufanya kile mlicho kifanya kwenye kombe la shirikisho halafu muone CAF watawafanya nini, mara kwanza mmeonewa huruma kwa kupigwa faini dola 10k,sasa karudieni tena kama ni kizuri,manake kwa ktk soka la Afrika nyie ndio wakwanza kufanya upuuzi huo.

Nikupe link ya nini Barcelona wale wana madeni kibao, ila still bado wana hesabu faida na ndio maana wana uwezo wa kusajili japo sio wachezaji wenye majina makubwa,Spurs na Westham wana madeni makubwa waliyo kopa kujenga viwanja ila still bado wana hesabu faida.
Unastahili upewe uanachama wa kudumu. Nyie ndiyo mlikuwa mnaitwa mna damu ya njano maana huu ni ukereketwa siyo tena ushabiki. Hayaaa!
 
Zimenufikia je kauzwa kwa shilling ngapi, maana Mayele dau lake mlishupaza shingo.
Kwani Mayele kauzwa? Mbona Thank You yake hatujaiona mpaka leo? Au hiyo Thank You imeshatolewa huko Congo hafu hamtuambii maana watu wasiri sana
 
Deal done,

Kocha wa zamani wa Mabingwa wa makombe yote nchini Yanga Africa professor NABI ajiunga rasmi na Rabat Mabingwa wa ligi kuu Morocco.

Kila la heri mwamba Nabi huna baya.

View attachment 2691420
Usisahau kuwa Yanga ilicheza CAF champion League (Ligi ya mabingwa) mpaka fainali na mwezi wa 10 inacheza African Super Cup.
Simba itatumani tu mwaka huu
 
Back
Top Bottom